Posted by : Unknown
Monday, 15 September 2014
Habari nzuri kwa wadau wa burudani ni
kwamba Mkubwa na wanawe Wanamtambulisha msanii kutoka katika kituo chao
cha MKUBWA NA WANAWE na huyu msanii anakwenda kwa jina la Amir na huu hapa ni wimbo wake ambao unakwenda kwa jina la NIKUPETI PETI Sikiliza na Download ngoma hiyo hapa na mpe support kijana huu kwa kila hali.
Salute pia kwa Team Mkubwa na Wanawe kwa
kuendelea kuzalisha vipaji vyenye uwezo mkubwa wa kuandika mashairi na
kutumia vizuri sauti zao na kutupa Burudani. Kumbuka Mkubwa na wanawe
pia ndiyo imewaletea Yamoto band Wanaofanya poa kupitia ngoma yao kama
Yamoto, Nibemende na Wimbo wao mpya unaokwenda kwa jina NISEME NISISEME
Related Posts :
- Back to Home »
- MUSIC »
- MKUBWA NA WANAWE WANAMTAMBULISHA MSANII MPYA AMILI MILI FT. ASLAY – NIKUPETI PETI

Post a Comment