Showing posts with label MAPENZI. Show all posts


Uume (Penis) ni kiungo chenye hisia na muhimu katika jinsia ya kiume kutokana na nafasi yake katika mwili.

Wanaume wengi wamekuwa wakitumia kiungo hicho pasipo kuzingatia utunzaji wake nakuifanya sehemu hiyo nyeti kuwa chafu na hata pengine kutoa harufu mbaya kwa kutoifanyia usafi sawasawa hasa baada ya kushiriki tendo la ndoa na kusisahidia haja ndogo.

Leo kati safu hii ya afya nikakufahamisha jinsi 10 muhimu za kutunza uume wako:

Usafi kwa asiyefanyiwa Tohara

Watu wengi usahau hata kushindwa kusafisha ngozi ya juu ya Uume wakati wa kuoga na baada ya tendo la ndoa na hasa wale ambao bado wana Ngozi ya juu ya uume (govi) na kusahau kusafisha eneo la chini yake. Kama una ngozi ya mbele katika uume (govi), unapaswa kuvuta kwa chini kwa upole ngozi hiyo na kufua eneo la chini yake na maji moto. Kama utashindwa kufanya hivyo utasababisha eneo hilo kuwa na harufu mbaya na kusababisha kuzaliana kwa bakteria.

Kunawa mikono

Ni lazima kuwa na tabia ya kusafisha uume wako si tu baada ya kutoka chooni lakini pia kabla. Osha mikono yako wakati wowote kabla ya kugusa uume wako. Hii ni kutokana kushika vitu vingi ambapo kunakuwa na uwezekano mkubwa wa kutunza kemikali. Pia ni muhimu kama umekuwa katika kuwasiliana na watu hivyo uweza kubaki na chembechembe ambazo zinaweza kusababisha muwasho kwa kushika pilipili hivyo utajikuna na kusababisha michubuko katika uume.

Uchunguzi wa Mara kwa Mara

Si tu kama wanawake wenyewe ndio wanashauriwa kujitegemea kwa kufanyiwa uchunguzi wa saratani ya matiti na kizazi, Lakini pia wanaume wanapaswa kuwa na utaratibu wa kuangalia sehemu zao za siri kama wana uvimbe wowote na pia kwa ishara ya magonjwa ya zinaa. Kuchunguza pia shahawa yako kutambua mabadiliko yoyote katika muonekano au uwepo wa damu katika uume.

Epuka Majeraha

Uume wako unahitaji ulinzi, upendo na huduma kutoka kwako sambamba na kuepuka hali ambazo zinaweza kusababisha majeraha katika uume. Hii inaweza kutokea kwenye ngono isiyo salama au punyeto bila kurainisha ngozi. Pia kuhakikisha unaepuka kuvaa nguo ya ndani (chupi) ambayo haibani sana. Ni vyema ukapata muda wa kukaa bila nguo ya ndani (chupi) ili kuweka wazi uume na kuepusha msuguano utakaoweza kuleta madhara.

Kuwa na mwanamke mmoja

Kuwa na mpenzi zaidi ya mmoja uua uwezo wako kingono lakini pia kuwa na mwanamke mmoja kutakusaidia kuwa mwenye tabia njema na kuwa na nguvu na uwezo mzuri wakati wa kufanya tendo la ndoa na hasa kabisa kujikinga na magonjwa ya zinaa.

Kupata muda wa Mapumziko

Hii ni nzuri kwa afya yako kwa ujumla lakini nzuri hasa kwa uume wako kuwa na afya. Kila wakati kila unapokuwa umepumzika kwa usingizi mzito, uume wako utakuwa na uimara kutokana na kuupumzisha. Hii ni muhimu kwa sababu husaidia kurejesha sura yake na pia kuongeza muda wa utendaji kazi wa damu yenye oksijeni.

Kunywa maji

Kuwa na tabia ya kunywa angalau glasi nane za maji safi. Maji huvuta sumu nje ya mwili wako na kuruhusu damu kufanya kazi na kuongeza kukusisimua wakati wa tendo la ndoa.

Uchaguzi wa sabuni ya Kuogea na mafuta

Ni vizuri na muhimu kufanya usafi wa sehemu za uzazi. Na hata hivyo haipaswi kwenda kuosha na kuskrabu sehemu za siri kwani ngozi ya uume ni raini na nyeti. Matumizi ya sabuni ambazo uondoa vidonda si nzuri kwa kutumia katika uume na kwa kutumia kama njia ya kurainisha uume wakati wa tendo la ndoa lakini pia ni kivutio cha maambukizi. Vizuri kuosha mara mbili kwa siku na maji ya joto kwa kutumia sabuni za kawaida.

Kwa nini unapaswa kunyoa


Mwanaume unaweza kutoona umuhimu wa kunyoa kama ilivyo kwa mwanamke lakini ukweli ni kwamba hata wewe unapaswa kunyoa na kutumia nyia nyepesi za kunyoa ili kuweka eneo lako la uzazi laini na safi. hivyo kama kunyoa mwenyewe kutakuwa na kisingizio mnaweza kufanya hivyo pamoja kama wanandoa hivyo mwenza wako akakuweka katika hali ya usafi.




Kuna wanawake kadhaa huwa wanafurahia sana kuwa wao kila wanapopita wanaume wanawatongoza. wanaongea kwa majidai sana na furaha kama vile ni jambo la kujivunia.

Ukweli ni kuwa mwanamke ukiona unatongozwa kila sehemu na kila mwanaume ujue wewe ni kimeo sana. sana yaani kila mtu anaona kuwa ana uwezo wa kukupata. unakuwa kama vile daladala au bodaboda kila mwenye uwezo wa kusimamisha anasimamisha. ni kuwa upo kiwango cha kuwa used anytime na anybody. so epuka hali inayokufanya uonekane cheap.

usifurahie kuwa kila unapopita watu wanapiga miluzi na kukufurahia wakikuita ukaona kuwa una nyota ya kupendwa. ujue una nyota ya mbwa kupigiwa miluzi au nyota ya uchafu kufuatwa na inzi. haiwezekani kila mtu anakusimamisha kukutaka kimapenzi. muuza maji, dereva wa boda boda, dereve wa daladala. dereva taxi, jamaa tu njiani kakuona, mwanasheria,ukienda hosp dokta anakutaka, nurse naye anakutaka, ukienda shule mwalimu naye anakutongoza. ukienda ofis flan hr naye anakutaka, mlinzi naye...

yaan wewe unatakwa na kutongozwa na kila mwanaume hapa duniani kasoro tu wale wenye kujiheshimu sana ingawa nao ukiwa kalia maeneo yao ya siri nao wanakugagadua. halafu unajisifu kwa wenzio kuwa wewe unapendwa sana na wanaume una mvuto.... hata uchafu nao husema una mvuto kwa kuwavutia inzi na wadudu wengine kama funza,kunguru n.k



Kuna watu wanna Mikwara sana, ukiachana nae anaanza Maneno ya shombo, wengine hudiriki kukwambia ''you cant live without me utarudi tu'', unajiuliza huyu mtu ana Hisa kwenye mishipa yangu ya moyo au ana mrija wa Oxygen yangu ya kutumia kesho?? Kama nilizaliwa peke yangu kwanini nisiweze kuishi wewe ukiondoka??

Maneno ya mkosaji haya, usiyasikilize kamwe! Unapoamua kufanya Maamuzi magumu usisikilize kingine chochote, Follow your heart. Wengi wamegeuzwa watumwa kwa kuamini they cant live bila watu fulani, kisa wamezoeana, au wamekaa muda mrefu kwenye mahusiano, unahisi kama hutaweza... Hamna kitu kisichowezekana, Mungu ameumba kusahau, utapona maumivu na utasonga! Hakuna destiny rahisi ya Kimapenzi bila kufanya maamuzi magumu, lasivyo Jiandae kuwa mtumwa wa mtu fulani, binadamu fulani ambaye naye amegundua wewe ni dhaifu na anatumia udhaifu wako kukutesa maisha yote...

Amua leo, Uwe mtumwa wa mtu au utengeneze furaha yako kwa Kumove on kupata Lover of you life
Roma Mkatoliki ni msanii maarufu wa hiphop Tanzania ambaye kwenye upande wa pili wa maisha ameamua kufunga ndoa na mpenzi wake wa longtime ambaye wana mtoto pamoja (Ivan) na April 9 2016 ndoa imefungwa nyumbani Tanga na ni baada ya send-off kufanyika Dar es salaam February 2016.

roma 5

Roma 4

Roma 2

February 2016 kwenye send-off Roma Mkatoliki akisindikizwa na mshkaji wake Kala Jeremih.
February 2016 kwenye send-off Roma Mkatoliki akisindikizwa na mshkaji wake Kala Jeremih.  Hip Hop Tz


Mtangazaji wa Clouds FM, Diva amesema Chidi Benz atamsaidia kuandika mashairi ya wimbo wake mpya alioupa jina ‘Kosa Langu.’

Kupitia Instagram, Diva amedai kuwa Mr Blue pia atahusika kwenye wimbo huo mpya unaovunja kimya chake cha zaidi ya miaka miwili kwenye muziki.

“@lamarfishcrab vibin this weekend , Nilikutana na Chid Benz Juzi, akaniahidi kuniandikia wimbo na Kusisitiza ndani ya Mwezi huu nifanye RNB Moja amazing,” ameandika Diva.

“Sometimes kuimba inahitaji hisia sana, hapa kati nimekubwa na misukosuko ya Mapenzi nikaumia sana , and i said why nat Put this into a love song … yes nikapata melody and the verse and chorus Paw jus like that .. called Lamar like YOH ‘ ts about time .. lets jus do the hook up, am very comfy when it comes to studio session with Lamar , matter fact ts been a while and me and blue this year tulikaa and discuss the return,” ameongeza.

“Then nikaanza andika , wimbo wangu verse ya Kwanza nimeandika Mwenyewe , Verse ya Pili itaandikwa na Chidi Benzi and Mr Blue Bayser atamalizia Na Rap Music , strictly RNB ‘ Leo usiku tunaanza kazi ya Kurekodi wimbo Unaitwa ‘ Kosa Langu ‘ saa 6:15 usiku , Production ya Fishcrab Cook Out. Utakuwa ni wa Kiswahili kilichounganika na kiingereza, a very beautiful song wish muuskize and Utatoka week 2 Mbele, after a week itakuja video then …

kuusambaza All over Africa , so stay Tuned, always been a fan of Chidi and Mr. Blue, Very Talented…. But Kosa Langu is jus tooo emotional , huwezi amini i crieeed wakati naandika , trials and tribulations , love this and that but sucha happy song , Extremely.”

“I believe in Chiddi Benz Chuma, I believe in his Talent as well , amenisisitiza sana Kufanya this song .. and y’all kno me i live it to the fullest and always givin a shot .. i live to Please My heart … And wanna Be Happy man, Music is the way forward ya Happiness , This time hits me to the core .. and i can’t deny it ama go with The flow YO… lemme.”

Kabla ya hapo Diva aliwahi kuachia wimbo Piga Simu aliomshirikisha Diamond na Mgonjwa kwa raha zako aliomshirikisha Mr Blue.

Kuna Wadada Wamebariki Makalio, Embu Ona Hii Video Fupi Huyu Dada anayejiita Irene Anavyotingisha Wezele Lake Huku Akijiangalia Kwenye Kioo cha Meza ya Kujirembea..Shidaa Tupu:
 

TENDO LA NDOA KWA WANENE,,KATIKA MADA HII NATAKA UJIFUNZE MENGI SANA TENA YA MUHIMU.

https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhZK5VjhzUoEKjs9dAjV3_4LuHx4GKBQ6Vmg0xNslkSq7M-i4hO918zQhuJkUWRT98nSGVoBM-OlNQsJ-M3YPQzquPc7bhMi7jyoVaY6_Q-SfvK0l9_cJgG16U0D6bN8EJfudt0BkGU5cSM/s1600/oooo.jpg
Mmoja kati ya wanasayansi maarufu hapa duniani amegundua kuwa watu wanene wanapata raha zaidi katika tendo la ndoa ukilinganisha na wtu wembamba. Mwanasayansi huyo aitwaye Dr. James Watson ambaye amekwishawahi kushinda tuzo za NOBEL kwa ubingwa wake ulipelekea ugunduzi wa muundo wa DNA,anaamini kabisa kuwa watu wanene wana uwezo mkubwa wa kufurahia tendo la ndoa kuliko wembemba.
Watu wanene wanazo sababu za kibiology zinazowafanya waweze kupata raha zaidi wafanayapo tendo la ndoa. Ktk uchunguzi wake wa kemikali mbalimbali zilizomo kwenye wa mwanadamu Dr. Watson ameona kuwa mafuta ya mwili yanaongeza kemikali iitwayo ENDORPHIN inayosababisha mtu ajisike raha. Kwa watu wembamba aligundua kuwa upungufu wa mafuta mwilini ulisbabisha ubongo usiapate ENDORPHINS za kutosha hivyo kupelekea kuwepo na upungufu wa raha katika tendo la ndoa. Watu wanaosema kuwa kufanya tendo la ndoa na watu wanene hakuna raha na ni kazi ngumu ni waongo kabisa. Ukweli ni kwamba raha ya tendo la ndoa haipungui utamu wake kutokana na unene wa mtu, bali hupungua kutokana na ukosefu wa ufundi na hofu zisizo na msingi wowote. Hofu ya kushindwa kumridhisha mwenzio siku zote lazima itakuzuia usipate raha kamili katika jambo lolote lile.
.
Ukosefu wa ufundi wa kufanya tendo la ndoa huleta hofu,na hata kiasi kidogo tu cha hofu huweza kusababisha mtu kushindwa kufanya tendo la ndoa kwa ufanisi na hivyo kushindwa kupata raha kamili. Dr. Helen singer ambaye ni mwanasaikolojia maarufu anasema" kama mwanamume huyu atakuwa hajui umuhimu wa kinembe kilicho sehemu ya juu ya uke akafanya tendo la ndoa na mwanamke mnene atashindwa kabisa kumridhisha mwanamke huyo. Mwanaume wa aina hiyo akishasimamisha uume wake atauingiza kwa mwanamke na harahara atapizz(kumwanga shahawa) bila ku

fikiria kuwa mwanamke huyo atakuwa bado hajafika kileleni". Wanawake wengi wanene wameogopa kuanzisha mahusiano na wanaume kwa hofi ya kudharauliwa na hata wakifanikiwa kuanzisha uhusiano wanakuwa na wasiwasi kuwa uhenda wataachwa kwa sababu ya maumbile yao makubwa. Utawaone wanawake wanene wakivaa mavazi yasiyoleta mvuto kwa wanaume kwa sababu imani kuwa kwa sababu ya unene wao hawapendeki. Wanawake wengine wapatapo wapenzi wakti wa kufanya mapenzi hupendelea kufanya mapenzi baada ya taa kuzimwa,wanaona giza litaficha ubaya wa unene wao, jambo ambalo huondoa kujiamini na kupunguza mvuto kwa mwanaume yeyote.

Wanawake wengi wanene wanajiona kuwa hawathaminiki kwa wanaume kutokana na unene wao, hali hiyo usababisha kuharibu mvuto wao na wengi huachwa sio kwa sababu ya unene wao,bali kwa sababu ya kukosa uchangamfu utokanao na hali ya kujiamni. Mtu akiwa na historia ya kuachika anajenga hofu ya kuchika katika uhusiano wowote ule, na hofu humfanya apoteze matumaini. Hali ya kutokuwa na matumaini humpunguzia mguvu ya kujiboresha yeye mwenyewe na kuboresha uhusiano anaoanzisha. Iwapo wanawake wanene hawaamini kuwa wao pia wanastahili mambo mazuri zaidi, basi watabaki katika tundu lenye huzuni na msikitiko tele.


 
Eti ukiwa unachat mpenzi wako anakupa majibu kama haya unamchukuliajeee 
mfano 

1.ukimwambia kila ukimwambia bby i love you much au nakupenda sana mpenzi wangu 
yeye hujibu asante au thanks badala ya kusema i love you too mpenzi wangu 

2.ukimtumia vocha hukaa kimya ukimpigia hujibu asante nimeipataa. 

3.ukimwambia nimekumic mpenzi wangu hujibu asante au thanks au k thanks 

4.ukimwambia kuhusu sex huandika k au sawa au bila kujibu

jee unamuongeleajee mpenzi kama huyu kwa wale wataalamu saikolojia



https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEi5nTIvceKBRtvKSPieZ9FQq7XQjdWtIJzr-SCUIXo3ZoySZFWQITcVYNtnoLU-elDzpLy-0eIvXksV3lkb_rluFWQKMu8Fy4cI_gFpHs6Xpasbf_XAg31aFy97gjH0hFMVvfqc_bKa-w/s1600/295938_101112609992922_2761279_n.jpg
bongo inazidi kuchafuka kwa matukio machafu hasa ya kupiga picha za utupu na kuzisambaza mtandaoni badilikeni jamani
 
KAMA ULIKUA HUJAJIUNGA NASI
BONYEZA HAPA



Katika mwili wa mwanamke kunasehemu nyingi sana zinazoweza kumpa mshawasha na hamasa kubwa wakati wa tendo,achilia mbali sehemu nyingi zilizozoeleka na watu wengi 
kama vile kisimi, kuna sehemu moja ambayo ni bab kubwa kiasi cha kwamba mwanamke akishughulikiwa ipasavyo anaweza kukojoa mara mbili au zaidi kwa wakati mmoja Sehemu hiyo si nyingine bali ni G SPOT au kwa Kiswahili baadhi ya watu huita kipele G,
  sehemu hii iko ndani ya uke umbali wa kama nchi tatu hivi ukuta wa juu.Sehemu hii ikiguswa tu mwanamke huhisi msisimuko wa ajabu kutokana na ukweli kwamba sehemu hii inahisia nyingi kuliko kawaida pale inapoguswa. Sehemu hii ni vigumu kidogo kuguswa kisawasawa kwa kutumia uume,badala yake 
njia muafaka ni kutumia kidole cha kati pale ambapo mwanaume unatakiwa uingize kidole chako kwenye uke wa mpenzi wako umbali kama wanchi tatu hivi kisha uwe kama unakunja kidogo kidole kwa juu ili uweze kugusa ukuta wa juu. 
Punde tu ukigusa sehemu hii utamsikia mwanamke kama ana ruka kidogo kwa juu na hapo hapo utamwona akilegeza macho na lazima usikie akifanya assshhhhhhhhhhh kutokana na hisia za utamu wa aina yake anaoupata mtu huyu.

KAMA ULIKUA HUJAJIUNGA NASI
BONYEZA HAPA 




Kwa mujibu wa chanzo chetu, mwanafunzi wa kike wa Ghana ambaye inasadikika kuwa anasoma chuo kikuu cha kisiasa maarufu nchini humo,alituma video chafu mitandaoni ambayo inamuonesha yeye na mwalimu wake wakila raha za dunia.

Chanzo chetu kinasema, binti huyo ambaye amekuwa gumzo chuoni hapo, ni maarufu sana kwa kuwa wanaume lukuki ambao amekuwa akifanya nao mapenzi kwa kuwabadilisha kama karanga za kuonja!!!!

Chanzo kiliongeza, Japokuwa mwalimu huyo hakuona tatizo kwa hiyo video waliojirekodi, hakudhani wala kutegemea kama ingevuja kwa kuwa dada huyo alimuahidi haitavuja ila ni kwaajili ya kuiangalia wao wenyewe wanapojisikia.Badala yake ni adha tupu kwa mwalimu huyo.

Kujirekodi na kuvujisha video za ngono imekua ni kawaida sasa kwa jamii za kiafrika kwa ujinga wa kutafuta umaarufu wa haraka.

Je, tutegemee nini kwa vizazi vyetu baada ya muda mfupi ujao…???? Tabia mbaya…….acheni.

 

ONYO! HII NI KWA WENYE UMRI WA MIAKA (18+) TU
 

ANGALIZO: VIDEO HIZI NI KWA WENYE MIAKA KUANZIA 19 TUU.. .....


Inawezekana hili lisiwe geni, lakini si vibaya kukumbushana.Fanya yafuatayo kurudisha upendo uliopotea kwa mkeo:
 
1.Jaribu kuwahi kurudi nyumbani kama ulikuwa una kawaida ya kuchelewa
 
2.Jitahidi kuja na zawadi mara kwa mara unapotoka kwenye mihangaiko yako hata kama zawadi hiyo si ya gharama
 
3.Mbusu mkeo kila unapotaka kutoka au unaporudi nyumbani
 
4.Jifunze kusema ASANTE kwa kila anachokufanyia hata kama ni wajibu wake kufanya hivyo.
 
5.Jifunze kuijuwa hobby ya mkeo, tenga muda japo wa saa moja kwa wiki kushiriki na mkeo katika hobby yake hata kama wewe si hobby yako
 
6.Jifunze kumpa credit(kumsifia) kwa kile afanyacho mf. Sifia chakula alichopika, namna livyotandika kitanda, malezi yake kwa watoto,mavazi n.k
 
7.Kaa pamoja na familia yako angalau mara 1kwa wiki na mfanye kitu kwa pamoja as a family mf.Fanyeni general cleaness kwa pamoja as a family and take part in it fully. Hii itampendeza sana mkeo na kuona namna unavyojali familia
 
8.Toka pamoja na familia yako hata mara moja kwa wiki/mwezi kwa matembezi ya jioni. Si lazima muwe na gari,mnaweza kutembea kwa mguu as a family kumtembelea jirani yenu au rafiki au ndugu aliekaribu na unapoishi
 
9. Shiriki michezo,homeworks na watoto wako. Mf usiku kaa mezani na familia yako ukiwasaidia watoto wako home works zao au hata kuwepo tu mezani wakati wao wanafanya home works, uwepo wako si tu ni muhimu kwa watoto lakini utamuonesha mkeo namna unavyoijali familia yako.
 
10. Do not demand too much, pia acha kulalamika. Ikiwa unapendelea mkeo akufanyie kitu fulani na hafanyi, usimlalamikie hovyo, show her how to do it, try to be example as a leader siku zote lead by example
 
11.Ongeza frequencies za kumpa mkeo haki ya ndoa, kama ulikuwa unampa mara moja kwa wiki basi ongeza iwe mara mbili au tatu and do it effectively and efficiently. Kumbuka hakuna MOYO MZEE, nae pia ana ihitaji huduma hiyo mara kwa mara
 
12...........Ongezea
Wanaume tusiishi na wake zetu kwa mazoea! Tukarabati makovu ya ndoa zetu na turejeshe furaha na amani ndani ya ndoa
NB:Japokuwa nimezungumzia wanaume tu, ila baadhi ya nukta zinaweza kuwahusu pia WANAWAKE,so Vice Verser is true!
Poleni kwa thread ndefu ila naamini urefu si hoja,ila content matters.
Usiku mwema!


LEO NINAKULETEA MADA FLANI NILIYOIPATA KWA KAKA FLANI KUHUSIANA NA UZURI NA UTAMU WA MWANAMKE.


KAKA HUYO ALITANGULIZA SAMAHANI KWA AKINA DADA WOTE AMBAO WATAKWAZIKA NA MADA YAKE. ALISEMA,

'SIKU HIZI LIMEZUKA WIMBI LA AKINA DADA NA HATA AKINA MAMA WENGI SANA KUJIREMBA KWA NAMNA MBALIMBALI ILI WAPENDEZE AMA WAWAVUTIE WANAUME!

WAMEKUWA WAKIPAKA  RANGI TOFAUTI TOFAUTI  KWENYE MIILI YAO, NYWELE ZAO KUCHA ZAO, MIDOMONI YAO, NK.

WENGINE WAMEFIKIA HATAU YA KUNYWA AU KUPAKA DAWA ZA KICHINA ZA KUONGEZA MAKILIO NA MAZIWA ILI KULETA MVUTO NA UZURI WAUTAKAO.

HATA HIVYO, WENGINE WANASUKA NYWELE NDEFU NA WANAONGEA KWA MBWEMBWE HUKU WANATIKISA VICHWA VYAO NA KUSHIKASHIKA NYWELE KAMA WAFANYAVYO WANAWAKE WA KIZUNGU KWENYE MUVI. 

KWA MSISITIZO ZAIDI HUCHANGANYA KISWAHILI NA KINGEREZA. KWA MFANO UTASIKIA, "OFUKOZI AI LAVU HIM BATI, SIWEZI KUENDELEA NAYE"!! CHAKUSIKITISHA WANABADILISHA MPAKA SAUTI ZAO!

NINAJUA DADA ZETU WANAFANYA HIVYO KWA LENGO LA KUPENDEZA NA WENGINE KWA LENGO LA KUWAVUTIA WANAUME. NA NINA HAKIKA HUWA WANAWAPATA WANAUME WENGI SANA KUTOKANA NA HILO! SHIDA IPO KWANGU JAMANI...

MIMI KAMA MIMI SIJUI NI KWA NINI HUWA HILI LINANITOKEA, LAKINI NI KWAMBA JINSI WANAWAKE WANAVYOZIDI KUJIREMBA NDIVYO NA MIMI NINAISHIWA HAMU YA KWENDA NAO KITANDANI!!

KIUKWELI NI KWAMBA NIKILALA NA MWANAMKE AMBAYE NI NACHURO, YAANI MWENYE NYWELE ZAKE ZA KAWAIDA ZILIZOSUKWA KWA MTINDO WA "TWENDE KILIONI" AU ZILIZOBANWA VIZURI,   MWENYE WOWOWO, CHUCHU NA SAUTI NACHURO, HUWA NAPATA NGUVU NYINGI SANA ZA KUPANDA MLIMA, IKILINGANISHWA NA NINAPOLALA NA MWANAMKE MWENYE UREMBO NA UZURI BANDIA. 
SIJUI KAMA UGONJWA HUU UMEWASHIKA NA WANAUME WENZANGU AMA NINAUMWA MWENYEWE!!' ALIMALIZIA KIHIVYO KUUELEZEA YA MOYO WAKE



Kukosa hamu ya kujamiiana ni tatizo linalowasumbua wengi nchini. Ni maradhi kwa upande mwingine yanayosababisha ugumba na hata mifarakano na kuvunjika kwa ndoa.
Masanja na mke wake Saumu wameishi kwenye ndoa kwa miaka kumi sasa. Hapo awali, kila kitu kilikuwa sawa katika uhusiano wao, lakini katika miaka ya karibuni, Masanja amekuwa hana matamanio tena na Saumu hana hamu kabisa ya tendo la ndoa.
Tatizo hili limekuwa likiwaathiri watu wengi hapa nchini na hata duniani kote. Haliwaathiri wanaume pekee kama ilivyo kwa Masanja, bali hata wanawake nao hukumbwa na tatizo hilo.
Utafiti uliofanyika nchini Uingereza , Ulaya na Marekani, ukijumuisha wanawake wa rika zote, ulibaini kuwa asilimia kati ya 30 na 50 ya wanawake wanakumbwa na tatizo la kukosa hamu ya kujamiiana.
Wakati huo utafiti huo ukiweka bayana hilo kutokana na tatizo la uzazi au kukoma kwa hedhi, tafiti nyingne zinaonyesha kuwa karibu robo tatu ya wanawake hawafikii kilele cha tendo hilo au wanapata maumivu.
 
Wataalamu wa afya wanaeleza kuwa kukosa hamu ya tendo la ndoa kunatibika, iwapo hatua muhimu na za msingi zitachukuliwa.
Ni vyema kufika mapema katika huduma za afya ukiwa na mwenza wako kwa ajili ya uchunguzi na matibabu.
 
Nini suluhisho la kukosa hamu ya kujamiiana
Kwanza kabisa, inashauriwa kitaalamu kubadilisha mfumo wa maisha kwa mfano, kubadili ratiba za kazi, matembezi au ratiba za wenza.
Kingine ni kufanya mazoezi mara kwa mara kwa sababu mazoezi huongeza ufanisi, lakini pia kupunguza uzito na humfanya mtu kuwa na umbile zuri, furaha na kuongeza ufanisi wakati wa kujamiiana.
 
Kupunguza msongo wa mawazo kwa kukubali kwamba tatizo lipo baina ya wanandoa na hivyo kutafuta suluhu pamoja na kuacha ugomvi. Matatizo ya kimaisha lazima yatafutiwe ufumbuzi.
Kufanya mazoezi ya misuli ya kiuno kwa kufanya kama unazuia mkojo wakati unahisi haja ndogo na kuhesabu kutoka moja hadi tano, baada ya tano pumzika na halafu rudia. Haya mazoezi (kegel exercise) huongeza uwezo wa kujamiiana kwa wanawake
 
Kubadilisha mfumo wa maisha kwa wapenzi 
Zungumza na mwenza wako – Malumbano na matatizo ni vitu vya kawaida katika uhusiano wowote, ni vizuri kwa wenza kukaa pamoja na kuzungumza matatizo yao, kuwa wa kweli, waaminifu, kuaminiana, kujaliana na kuzungumza juu ya tendo la ndoa kwa pamoja.
Ni vizuri kila mmoja kuainisha vitu anavyopenda na asivyopenda kufanyiwa wakati wa kujamiiana. Pale inapotokea mmoja hajapendezwa au kufurahishwa na uwajibikaji au ufanisi wa mwenzie basi
 
 
hana budi kutumia lugha nzuri kutafuta kiini cha tatizo na kulitafutia ufumbuzi.
Weka mazingira mazuri na muda wa kufanya tendo la ndoa na mwenza wako ili mpate kudumisha uhusiano wenu.
 
Ongeza msisimko katika uhusiano wenu kwa kujaribu aina au staili mbalimbali wakati wa kujamiiana, kubadilisha muda wa kufanya mapenzi (sio usiku tu hata asubuhi, mchana) au sehemu tofauti na ile mliyoizoea wakati wa kufanya mapenzi (sio kila siku kitandani).
Kupata ushauri nasaha kutoka kwa wataalamu wa mambo ya uhusiano, ndoa na hata madaktari wa magonjwa ya akili kwani hawa ni weledi zaidi katika kazi yao.
 
Tiba ya dawa
Kutibu ugonjwa ambao ni kiini cha tatizo hili – Kisukari, magonjwa ya moyo, magonjwa ya zinaa nk.
Daktari kumbadilishia mgonjwa dawa zinazosababisha madhara kama ya msongo wa mawazo na sonona.

Kutibu tatizo la sonona na wasiwasi.
Kutumia dawa au vilainishi vya  ukeni wakati wa tendo la ndoa kwa wale wanaopata maumivu au kupunguza uke kuwa mkavu au kuwasha.

Tiba ya vichocheo (homoni)
Dawa za kitaalamu za kuongeza hamu au nguvu atakuandikia daktari baada ya kufahamu kiini cha tatizo. Haishauriwi kutumia bila ushauri wa daktari kwani dawa hizi zina madhara.
Ikumbukwe ya kwamba vyakula hivi sio tiba mbadala bali husaidia tu kupunguza ukubwa wa tatizo hili la kupungua au kukosa hamu ya kujamiiana na kuboresha kwa wale ambao hawana tatizo hili na hivyo kudumisha uhusiano.
 
Kitunguu swaumu – Kitunguu swaumu kina kemikali ambayo huongeza mzunguko wa damu kwenda kwenye uume, huongeza hamu ya kufanya mapenzi na utolewaji wa mbegu za kiume.
Habat al soda – Mafuta, mbegu, au unga wa habat soda kama wengi wanavyoiita na ambazo zimetumika kwa miaka mingi sana kupunguza tatizo hili na waandishi wengi wa tiba ya nguvu za kiume  wameeleza umuhimu wake. Tumia kidogo kwenye chai au maji ya uvuguvugu mara mbili kila siku. Mbegu hizi hupatikana kwa wingi katika nchi za asia kama Saudi Arabia, Syria, Iran, Dubai (UAE), na hata Misri, Tanzania-maeneo ya pwani hupatikana.
Giligilani – Hii huchochea hamu ya tendo la ndoa kutokana na uwepo kwa wingi wa kichocheo aina ya androsterone.
 
Ndizi – kuwepo kwa wingi kwa kimeng’enyo aina ya ‘bromelain’ na madini  ya potashiam, huongeza msisimko wa tendo kwa wanaume. Potassium pia hupatikana kwenye tikiti maji ambalo pia lina kemikali aina ya ‘arginine’  ambayo huongeza wingi wa damu katika mishipa ya damu na hivyo kusaidia katika kusimika kwa uume. 
 
Parachichi – Huwa na kiwango kikubwa cha madini ya  folic acid ambayo huvunjavunja protini. Vitamini B6 kwenye parachichi huchochea kutengeza vichocheo vya kiume kwa wingi.
Mayai – Mayai yana kiwango kikubwa sana cha vitamini aina ya B5 na B6, ambazo husaidia kuleta usawa wa viwango vya vichocheo mwilini na kupunguza msongo wa mawazo.
 
Nyanya – Zina kiwango kikubwa cha virutubisho  aina ya bio-active phyto-nutrients, lycopene, na beta carotene ambazo husaidia kuleta damu kwa wingi kwenye uume na hivyo kusaidia kusimika kwa uume
‘Chocolate’ – Ina kiwango kikubwa cha kemikali ambazo huongeza hamu ya tendo.
 
Vitamin A – Husaidia katika kuweka usawa wa vichocheo vya mapenzi. Vyakula venye wingi wa vitamin hii ni pamoja na karoti, maini,tikiti  maji, spinach, maziwa nk.
Vitamin B complex – Huongeza kiwango cha kichocheo cha testerone ambacho husaidia katika kuongeza ufanisi wa tendo la ndoa kwa wanaume na wanawake. Vitamini B complex hupatikana kwa wingi kwenye ndizi, viazi tamu, lentils mboga za majani, parachichi, mayai, samaki aina ya jodari (tuna), bata mzinga, maini nk.
Mdalasini na Asali– Mchanganyiko wa vitu hivi viwili husaidia sana katika kuongeza ufanisi kwa wale wenye tatizo hili.
Welcome to My Blog

Popular Post

Blogger templates

About views Blogger

Mrembo wetu wa leo

KONA YA KIJANJA YA KUJIDA VIA SNAPS

Powered by Blogger.

MY HOT BROGGER TZ

Like My Facebook Page

FOLLOW ME ON TWITTER

Contact Form

Name

Email *

Message *

- Copyright © TIMOKUCHAZ -Robotic Notes- Powered by Blogger - Designed by Johanes Djogan -