Katika
mwili wa mwanamke kunasehemu nyingi sana zinazoweza kumpa mshawasha na
hamasa kubwa wakati wa tendo,achilia mbali sehemu nyingi zilizozoeleka
na watu wengi
Posted by : Unknown
Sunday, 8 June 2014
kama vile kisimi, kuna sehemu moja ambayo ni bab kubwa
kiasi cha kwamba mwanamke akishughulikiwa ipasavyo anaweza kukojoa mara
mbili au zaidi kwa wakati mmoja Sehemu
hiyo si nyingine bali ni G SPOT au kwa Kiswahili baadhi ya watu huita
kipele G,
sehemu hii iko ndani ya uke umbali wa kama nchi tatu hivi
ukuta wa juu.Sehemu hii
ikiguswa tu mwanamke huhisi msisimuko wa ajabu kutokana na ukweli
kwamba sehemu hii inahisia nyingi kuliko kawaida pale inapoguswa. Sehemu
hii ni vigumu kidogo kuguswa kisawasawa kwa kutumia uume,badala yake
njia muafaka ni kutumia kidole cha kati pale ambapo mwanaume
unatakiwa uingize kidole chako kwenye uke wa mpenzi wako umbali kama
wanchi tatu hivi kisha uwe kama unakunja kidogo kidole kwa juu ili uweze kugusa ukuta wa juu.
Punde tu ukigusa sehemu hii utamsikia
mwanamke kama ana ruka kidogo kwa juu na hapo hapo utamwona akilegeza
macho na lazima usikie akifanya assshhhhhhhhhhh kutokana na hisia za
utamu wa aina yake anaoupata mtu huyu.
KAMA ULIKUA HUJAJIUNGA NASI
BONYEZA HAPA
KAMA ULIKUA HUJAJIUNGA NASI
BONYEZA HAPA
Related Posts :
- Back to Home »
- MAPENZI »
- HII NDIO SEHEMU INAYOAMSHA 'NYEGE' ZAIDI KWA MWANAMKE....

Post a Comment