Showing posts with label UDAKU. Show all posts


Leo ni birthday ya mtoto wa Diamond, Tiffah ambapo ndugu, jamaa pamoja na marafiki katika mitandao ya kijamii wanaendelea kum-wish binti huyo.
Zai

Mmoja kati ya watu ambao wamem-wish binti huyo ni Ex wa Zari, Ivan ambapo amemtakia binti huyo afya njema katika maisha yake. Lakini ujumbe huo umezua upya vuguvugu kwa mashabiki ambao bado wanaamini Tiffah ni mtoto wa Ivan licha ya Diamond kukanusha uvumi huo mara kadhaa.

“Big shoutout to this innocent beautiful soul. May you live to blow more candles to come Princess_tiffah,” aliandika Ivan katika ukurasa wake wa instagram huku akiwa ameweka picha ya binti huyo.

Baada ya kuandika ujumbe huo, mashabiki katika mitandao ya kijamii wamekuwa na maoni tofauti. Haya ni baadhi ya maoni ya mashabiki hao.

Mtoto karudi kwa baba jaman, Damu nzito nyie @ivandon ongera Ivan kwakupigania mpaka mwanao kaja atimaye mungu mkubwa jaman khaa.

Sweet_verosa
Hahaha yani nimecheka mpaka nimelia eti Mungu mkubwa tifa karudi kwa baba yake.

Didiz_buu
Nimempenda Bure uyu mzungu wa kiganda sijui kisauz…. Big up bro Ivan…. U gat a unique heart… Happy birthday baby teepher

Angellyamuya
Congratulation big Boss I salute you.

Aniveraaaaa
Ivan Don Kai u re a man,dis jst gt me crying a u re a nice man.God will perfect everything dat concerns u and gve h a better companion amen.

Nelyhassan
Sure she is beautiful innocent soul happy birthday girl @princess_tiffah

Cassandra_jolly
Happy birthday to her…..u r a gentleman Ivan

Johnson_willo
Now i realize how gentle ur.@ivandon conglatulation men.And happybornday to the one and only.@princess_tiffah.

Binti_wa_bagoka
My love @christinamboy aiseeee njoo umuone mume wa zari alivyo zungu ametishaaaa


Video queen ambaye haishiwi vituko, Gigy Money amefunguka kwa kusema kuwa yeye siyo mtu wa kupenda kufanya mapenzi kama watu wanavyodhani.


Akizungumza na Bongo5, Gigy amesema maisha aliyopitia yamemfanya awe ni mwanamke asiyependa kufanya mapenzi.

“Mimi nimepoteza ile ari ya kufanya mapenzi au kuwa na mpenzi mmoja au nijiachie na mwanaume kama mtu na mpenzi wake siwezi, sasa hivi natafuta maisha, pesa mbele,” alisema Gigy. “Kama yeye ana wivu na mimi, mimi sina wivu na mwanaume,”

Gigy amesema taarifa za kwenye mitandao ya kijamii kwamba anajiuza siyo za kweli, kwani yeye ana mwanaume ambaye anamuudumia kila kitu ingawa hawafanyi mapenzi.

“Nina mtu ambaye ananihudumia, ananipa mtaji ya biashara zangu. Pia hata kwenye muziki anawekeza pesa yake. Kwa hiyo waache wanifikie hivyo wanavyofikiria, mimi nafikiria navyojijua, mimi nipo tofauti sana na wanavyozungumza, ukijaribu kukaa na watu wangu wa karibu watakwambia,” alisema Gigy.

 

Baada ya video ya msanii wa Bongofleva Snura kuzinduliwa na kuitoa rasmi video ya ngoma yake mpya ya Chura, headlines nyingi zimekuwa zikiandikwa mitandaoni kuhusiana na video hiyo, wapo wanaoisifia na wapo wanaopenda kuitazama kutokana kuvutiwa na style yake ya uchezaji, Ayo Tv ilimpata Snura katika exclusive interview.

“Kiukweli video ya Chura nimeifanya maalum kwa ajili ya youtube na wala sina mpango wa kuipeleka kwenye Tv yoyote Tanzania, licha ya kuwa nimetumiwa taarifa kuwa Kenya imeshaanza kuchezwa, kwa wanaosema haina maadili mimi sijaitengeneza kwa ajili ya Tv bali youtube kwa anaependa kuitazama ataitazama na kwa mtu ambaye kwake haina maadili asiingie youtube kuiangalia” >>> Snura


KAMA ULIKOSA KUONA UZINDUZI WA VIDEO YA SNURA ‘CHURA’ APRIL 24 2016 ITATAZAME VIDEO HII HAPA CHINI 

 

Mwanamke Akikujibu SMS yako Hivi Acha Haraka Sana Kuchat Nae

Wednesday, 27 April 2016
Posted by Unknown
Tag :
Ukiona umemtumia mpenzi wako/mchumba wako/mchepuko wako/mke wako au hata rafiki wa kike wakati mwingine SMS ya kawaida tu kwaajili ya kumsalimia lakini yeye akakujibu moja kati ya majibu yafuatayo, tafadhali sana usiendelee kuchat nae maana kinachofuata hapo ni majanga tu.

KWA MFANO: 
1. Ukimtumia sms ''Mambo mpenzi wangu?'' akikujibu ''mambo mabaya'', usimuulize kwanini mambo mabaya, ukimuuliza atakwambia kuwa ''sina hela dear''

2. Ukimtumia sms ''Maisha yanasemaje kipenzi changu'' akikujibu ''maisha magumu hubby wangu we acha tu'' usimuulize kwanini, ukimuuliza kwanini atakwambia ''nimefulia mwenzio kama nini sijui''

3. Ukimtumia sms ''Mbona kimya sana mchumba wangu, umenitupa kiasi hicho'' akikujibu ''sijakutupa wangu yaani mambo hata hayaendi'' usimuulize kwanini mambo hayaendi, ukimuuliza atakwambia kuwa ''yaani sina kitu mpenzi wangu, simu ilikuwa haina hata hela ya kubeep''

4. Au ukiona mwanamke anaanza kwa kukwambia nikwambie kitu? We mkatalie kiutani utani tu, mwambie usiniambie, hata akikomaa vipi akwambie mwambie sitaki uniambie huku unafanya kama utani lakini moyoni unakuwa upo serious.

Ni mara chache sana mwanamke akikwambia kuwa mambo mabaya, maisha magumu au mambo hayaendi huwa na matatizo mengine kama kuumwa, misiba.... n.k lakini THE REST ni wapigaji mizinga tu. Akikwambia maisha magumu mjibu ''pole wangu, mambo mengine vipi?''

Ukipewa majibu kama hayo, chagua moja, either usiendelee kuchat nae mpaka badae kidogo au mbadilishie maada ili kukwepa huo mzinga ambao unakuja mbele yako.
Van Jack  a.k.a Arsene_Wenger wemgi ndivyo wanavyomuita hivyo pande za Ubungo jijin dar Tanzania Ni maarufu sana pande hizo hidi Snaps company Imeamua kumpa offer ya Picha Hii Unaweza ukamfollow kwa link hizi    Facebook     Instagram   Kama na wewe Unahitaji utokelezee na Chama lako wasiliana nasi kwa
 Whatsapp 


 
 
Licha ya jitihada za serikali kutangaza vita dhidi ya wauzaji na wanunuzi wa miili ya kinadada na kuwataka waache kwa kuwa ni kinyume cha maadili na sheria ya nchi, warembo hao (sio walio pichani ukurasa wa nyumawamedaiwa kukaidi agizo hilo huku wakidai kama aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Yusuf Makamba alishindwa basi hata mkuu mpya wa mkoa huo, Paul Makonda hatawaweza.

Hivi karibuni, Kamanda wa Kanda Maalum ya Dar es Salaam, CP Simon Sirro alitangaza oparesheni maalum ya kuwasaka madada poa hao, sambamba na wateja wao akidai wanakiuka sheria na maadili ya Mtanzania jambo ambalo liliungwa mkono na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu.
Mara baada ya agizo hilo la serikali kutolewa, wanahabari wetu walifanya uchunguzi katika maeneo ambayo yamezoeleka kwa biashara hiyo na kukuta baadhi yao wakiendelea kama kawaida kana kwamba hakuna agizo lolote lilitolewa.

Risasi lilipita maeneo ya Sinza-Mori jijini Dar na kuwakuta akina dada hao wakiendelea na biashara hiyo kwa kujipanga barabarani kuelekea baa maarufu ya Meeda ambapo wanahabari wetu waliojifanya wateja walipowauliza kulikoni hawaogopi nguvu ya dola, walisema wao wameshindikana tangu enzi za Makamba, Kandoro na Said Meck Sadick (aliyepita) hivyo hata huyu wa sasa, Makonda hatawaweza.

Wewe hii ni nguvu ya soda. Hatuwezi kuacha unafikiri tutakula wapi? Hii kazi tumeanza kitambo, tangu enzi za Makamba aliyekuwa hatari kweli kukemea biashara hii lakini tulimshinda. Akaja Sadick naye tukamgaragaza sembuse huyu Makonda aliyepewa jiji hili juzi tu?” alisema dada poa mmoja aliyekataa kutaja jina lake.

Maeneo mengine ya Jiji la Dar ambayo Risasi lilibaini kuwa biashara hiyo bado inaendelea kama kawaida ni pamoja na Sinza-Afrikasana (maarufu kama Conner Bar), Buguruni (Kimboka Bar, Rozana), Temeke na Kinondoni-Makaburini.

Alipotafutwa Makonda kuhusiana na suala hilo alisema atalizungumza kwa kirefu baada ya Sikukuu ya Pasaka lakini mwanahabari wetu alipombana zaidi ili aweze kutoa ufafanuzi kwa kuwa madada poa hao wamekaidi agizo la serikali, aliahidi kulizungumzia siku iliyofuata (Machi 21) lakini hata hivyo siku hiyo alipopigiwa simu hakupokea.


Hata mwandishi wetu alipomtumia ujumbe mfupi wa maandishi kumsisitiza azungumzie suala hilo, Makonda hakujibu chochote.

Aidha, mwandishi wetu pia alimtafuta Kamanda wa Polisi wa Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Simon Sirro ili aweze kuzungumzia suala hilo, aliomba atafutwe baadaye kwa kuwa alikuwa kwenye kikao. Baadaye simu yake haikupatikana hewani.

GPL

 
UKIWA KAMA MSOMAJI WA BLOG HII UNASEMAJE KUHUSIANA NA SWALA KAMA HILI!
Sauda Kipindura Anatokea Pande za Ubungo Rombo.
  na inasemekana ni mmoja kati ya  Wembo Wakali Pande Hizo ila kubwa na la kutisha  ni
 <<<<<< MVUTO>>>>>> 
 Alionao kwa wanaume kiasi kwamba Anawafanya walie Japo Binti huyu Anasumbuliwa, ila yeye Hana habari nao Katulia tuliiii na Mtu wake. Hebu Ona Picha 17 Na Mapoz yake


















Kwa Picha Kali na walembo wetu Endelea Kutembelea Pange yetu au kama hujajiunga nasi 
Like Page yetu   
                            >>>>>BONYEZA HAPA<<<<<<

 
Wanasema kua kikulacho ki nguoni mwako, msemo huo kwa Wema utakua unamgusa sana. Kitambo hicho Wema na Penny ( X wa Diamond ) walikua mashosti ile mbaya lakini ushosti huo uliishia pabaya pale Wema alipogundua kua Penny anakula kijanja muhogo wake ( Diamond Platnumz )
Japo kua hii si ishu mpya sana but nmeona leo nwaletee picha za wawili hawa Wema na Penny walipokua mashost kabla. Kwa sasa Wema kashikilia usukani wa Moyo wa Diamond na inasemekana mwakani huenda tukawalia wali ( Ndoa ) Tazama picha hizo hapo chini

 Wema Sepetu Mwenyewe Akiwa na Mahaba niue wake


 Diamond akiwa na Penny pozi la mahabati 


Wema na Penny katika Pozi la pamoja
 




 Snura, Jina lake halisi ni ‘Snura Mushi’



Masai Nyotambofu 'Gilliady Severine Kahema'

Queen Darleen, Jina lake halisi ni ‘Mwajuma Abdul Juma’.


Jux Vuiton, Jina lake halisi ni ‘Juma Mussa Mpolopoto.’


Shetta, Jina lake halisi ni ‘Nurdin Bilali’


Izzo bizness, Jina lake halisi ni ‘Emmanuel Simwinga’.

Shilole, Jina lake halisi ni ‘Zuwena Mohamed’.


Ommy Dimpoz , Jina lake halisi ni ‘Omary Faraji Nyembo’


Roma, Jina lake halisi ni ‘Ibrahim Mussa’.

Belle 9, Jina lake halisi ni ‘Abelnego Damian’.


Tumezoea kwa wasanii wengi wa Bongo fleva kwa kuwajua kwa majina yao ya kisanii, 

Wasanii wengi wamekuwa wanatumia kifupi cha majina yao halisi, ila mengine wengi wanakuwa wanatumia majina tofauti kabisa,

 wengi huamini kuwa wangekuwa wanatumia majina yao halisia, wasingeweza kuwa na utofauti wa ki-status hapa town 

kama ilivyo hivi sasa, hivyo kutengeneza majina wanayotumia kwenye sanaa ya muziki, na kupelekea mashabiki wengi wa wasanii hawa kutojua kabisa majina yao haya,.

hawa ni baadhi tu ya wasanii wa bongo



Ilianza Hivi:

Teamukwelinauwazi
Huyu Lemutuzi nae ni mbulula wa kwanza Tanzania kama wewe kweli hawa ni superfriends zako unashindwaje sasa kuwaweka chini ukaongea nao na ukajua chanZo cha ugomvi wao na mwisho ukawasuluhisha !! Nakuona unaegemea upande wa wema ! Kwani alikwambia nani kua ukimsaidia mtu ndio umnyenyekee kama mungu wako hata kama akifanya makosa basi umchekee tu kiiiisa huna sauti eeeeti kwa sababu tu amekusaidia huo ni utumwa!!!

 Heshima ni kitu cha Bure ndio maana tunaambiwa muheshimu mdogo nae atakuheshimu! Juzi tumeona interview Ya kajala na mwanae kajala kaongea vizuri sana sio kwamba kasahau wema aliotendewa la hasha na kasema hata amlioe mabiliini si kitu !! Yaliyopo nyuma Ya pazia ni mengi ukweli wa chanZo cha ugomvi wao wanaujua wenyewe!! Sasa wewe lemutuz na mtumbo wako peleka huko gym mtu mzima wewe ovyoo sana na hizo system zako !! Kwanza ile Harusi yako uliojigamba haina muchango imeishia wapi ??? Huyo mchumba yuko wapi maana kila siku kupiga picha na bebez Za watu !!

Eti ooh bahari baharia utakua wewe meli ikipinduka utahemea wapi kama nakuona utakavyotapatapa ndani Ya Maji .. Ukimkuta kwenye kumbi Za starehe sasa anavyojinadi ooh mi hinijui Mimi ndio lemutuz uliza mjin hapa nafahamika sana !! Nyooo huna haya mwanaume mzima uache kutulia na familia kutwa unakesha kutafuta umbea tutokee hapa na jasho la mchicha pori...

Ikafuatia Team ya Lemutuz Kutoa Vidonge:

Teamlemutuz
@teamukwelinauwazi naona umeanza kufulia now! Huna mastori ya maana like you used to be, siku hizi @teamukwelinauwazi imegeuka team penny!! Mnakazi ya kutetea tu kinafiki kila kitu kinachifanywa na team penny hata kama wanafanya uozo!!

 Kajala ni mpumbavu na mnafiki, najua bibie unamtetea kwa kuwa yuko team penny, but the truth be said kajala mjinga hakumbuki alikotoka hajui siku anaweza kupata janga kubwa zaidi and hao alionao wote watamkimbia, marafiki wenyewe wako nae ili tu kumuumiza wema, hawana upendo wowote!!!!

Big up @lemutuz kwa kumwambia ukweli si watu wote wenye ujasiri wa kumwambia mtu ukweli pale anapokosea..... waache mburulaazzz waongeee

 


Kwa picha zingine kibao Usikose Kutembelea kwenye Blogger yetu haya yote chanzo kikubwa ni Pombe









Isitoshe kuna Starehe kibao tu ziliendelea pande Hizi kama Dada huyu akutwa akitwanga kilevi chake Burudaaaaaaana kabisa unajua nn hiyo haaaaaaa utachekwa sema  (Shisha)

Welcome to My Blog

Popular Post

Blogger templates

About views Blogger

Mrembo wetu wa leo

KONA YA KIJANJA YA KUJIDA VIA SNAPS

Powered by Blogger.

MY HOT BROGGER TZ

Like My Facebook Page

FOLLOW ME ON TWITTER

Contact Form

Name

Email *

Message *

- Copyright © TIMOKUCHAZ -Robotic Notes- Powered by Blogger - Designed by Johanes Djogan -