Showing posts with label MUSIC. Show all posts

Audio | Msaga Sumu ft Chemical – R.I.P Seth | Mp3 Download

Wednesday, 12 July 2017
Posted by Unknown
Tag :








  

Bonta Maarifa Ft Barakah The Prince - Zero.mp3

Friday, 14 April 2017
Posted by Unknown
Tag :

 Bonge La ngoma Najua kama unapenda Hip Hop Lazima hii ngoma utaikubali tu kutoka kwa 
 Bonta Maarifa Ft Barakah The Prince - Zero.mp3


 


New Song Harmonize_x_Raymond_-_PENZI

Monday, 2 May 2016
Posted by Unknown
Tag :


Yaaan hapo ni fundi Jumlisha Fundi sawa sawa na Ngoma kali Hebu Fanya kuisikiliza hapa chini

Ferooz_Ft__Raymond_-_Nimejifunza (Audio)

Thursday, 28 April 2016
Posted by Unknown
Tag :

Najua Ulimiss sana Kuisikia Sauti ya FEROOZ..Sasa amekuletea bonge la Ngoma akiwa chini ya MKUBWA FELLA , Hii ngoma ameshirikiana na RAYMOND kutoka kwa Wasafiii .... Ngoma Hii HAPA ipakueee Mkali wangu

Imekuwa Kama Kawaida kumsikia Roma akiiba Nyimbo za Siasa Lakini leo Hii kaja na Hii Bonge la Wimbo wa Mapenzi Hivi ulikuwa unajua kama Roma anajua Kubembeleza.

 Hebu fanya kuusikiliza hapa Wimbo wake Mpya
 Song _ Mtoto wa kigogo


Anayejua Anajua tu Kwa Mwendo Huu Akikaza Atatoboa Tundu Mchina Boy Aja na Ngoma Nyingine Kaaaaaali Akiwashirikisha Wasani Wawili Shebby Love & War Will Ni Bonge La Ngoma Kuwa wa Kwanza Kuisikiliza Hapa
 


Download | Mkubwa na Wanawe - Niseme (Gospel Version) [Audio]

Tuesday, 18 November 2014
Posted by Unknown
Tag :


Download hapa kazi mpya kutoka kwa Mkubwa na Wanawe chini ya Said Fella na muda huu wameamua kuuanyia Gospel version wimbo wao 'Niseme' na kuuweka katika mahadhi ya injili.
Sio mbaya ukashare maoni yako kuhusiana na wimbo huu tujue umeupokeaje.
Enjoy...

NEW AUDIO: Bonta feat G-Nako (@GnakoWarawara) – B3

Friday, 7 November 2014
Posted by Unknown
Tag :

Kama unapenda Hip Hop Hii inakuhusu Bonta & G-Nako ogopa utaipenda hebu isikilize hapa

Bonta.._full
Kama ulikua hujajiunga nasi
 >>>>>>Bonyeza Hapa Chini<<<<<<
Young Killa msodoki a.k.a handsome asie na matunzo au ukipenda muite zombi, leo hii ameachia wimbo mpya aliomshirikisha Fid Q
wimbo unaitwa "13" ikiwa ni tarehe walizozaliwa ambapo Fid amezaliwa August 13 na Killa amezaliwa April 13..sikiliza wimbo huo hapa chini




Mwana FA na Alikiba
Sote tumeusubiri kwa hamu na sasa wimbo mpya kabisa wa Mwana FA na Alikiba umewasili rasmi. Baada ya Mwana FA kutoa wimbo wa Mfalme live katika tuzo za KTMA 2014 msanii huyu ameungana na mfalme wa bongo flava yaani Alikiba ili kuwaletea mashabiki wake kazi nyingine kali. Producer wa 

wimbo huu si mwingine bali ni Marco Chali wa kutoka MJ Records ya jijini Dar Es Salaam. Katika kuurekodi wimbo huu kumekuwa na matoleo manne tofauti ambayo wadau walikuwa wakisindwa kuamua ni upi wa kuachia kwa kuwa zote zimesimamia kucha. Mwana FA na kampuni ya LifeLine 

ambaye yeye pia ni mkurugenzi wameamua kuuachia wimbo huu moja kwa moja kupitia Mkito.com ili kuhakikisha unawafikia wapenzi wake wengi zaidi na kuhakikisha kuwa kuna maslahi yanapatikana katika kazi hii. Pakua wimbo huu mpya kabisa sasa upate flava kali.

Brand Nu Single: Vitamin Music - Belle 9 feat Joe Makini

Friday, 10 October 2014
Posted by Unknown
Tag :

Belle 9 ameachia wimbo wake mpya uliobeba jina la album anayoifanyia kazi kwa muda sasa "Vitamin Music" akiwa amemshirikisha Mwamba wa Kaskazini, Mweusi "Joe Makini"

 
 Si muda mrefu sana tangu msanii huyo anaewakilisha Morogoro aachie ngoma mpya "Wanitamani" na kuachia wimbo huu Belle 9 amesema ameamua kuachia wimbo huu kwasababu uko tofauti sana na zingine maana mashabiki wamekuwa wakimwambia kwanini hatoi ngoma kama sumu ya penzi na zingine zilizopita mwanzoni 

SIKILIZA NA DOWNLOAD NEW MUSIC: KIBA SQUARE - PITA MBELE

Monday, 15 September 2014
Posted by Unknown
Tag :


 



Habari nzuri kwa wadau wa burudani ni kwamba Mkubwa na wanawe Wanamtambulisha msanii kutoka katika kituo chao  cha MKUBWA NA WANAWE na huyu msanii anakwenda kwa jina la Amir na huu hapa ni wimbo wake ambao unakwenda kwa jina la  NIKUPETI PETI Sikiliza na Download ngoma hiyo hapa na mpe support kijana huu kwa kila hali.
Salute pia kwa Team Mkubwa na Wanawe kwa kuendelea kuzalisha vipaji vyenye uwezo mkubwa wa kuandika mashairi na kutumia vizuri sauti zao na kutupa Burudani. Kumbuka Mkubwa na wanawe pia ndiyo imewaletea Yamoto band Wanaofanya poa kupitia ngoma yao kama Yamoto, Nibemende na Wimbo wao mpya unaokwenda kwa jina NISEME NISISEME

Sunday Mjeda a.k.a Linex ameachia wimbo wake mpya "Wema Kwa Ubaya" ambao ndani kuna sauti ya Mh Zitto Kabwe

Linex alitarajia kuzindua wimbo huo ndani ya escape 1siku ya jana huku skylite band wakiwa wanapiga show yao, lakini imeshindikana kwa sababu alizozitoa leo kuwa ziko nje ya uwezo wake
.
Rapper mdogo kuliko wote Tanzania "Dogo D" mwenye umeri chini ya miaka 15 kutoka Mwanza ameachia wimbo unaowadiss wasanii kibao wakubwa wasanii wa mwanza Mo Music na Yong Killer lakini pia hakuwaacha wasanii wengine kama Nay wa Mitego, Dogo Janja, Pnc na wengineo


Ngoma hiyo aliyoipa jina la "Wamenichokoza" akiwa amemshirikisha King Silver amemdiss Mo Music na Nay wa Mitego kwa kusema 
"mwanzoni ulipokwenda pamoja tulikwenda kuhit basi nenda, kufanya ngoma yangu ndio unanipiga kalenda
wamitego acha poz kama dem, kama kidume kweli kwanini hupokei simu. 
hakuishia hapo aliendelea na kumdiss Young Killer  na Dogo Janja kwa kusema 
"Hakuna baba mwenye gari kuna baba mwenye nyumba, msodoki acha uongo kusema umejenge nyumba"....Dogo janjaro chunga utapauka utadhani goti la mbuzi wakati kwa madee unakula na kunywa nkujamba tu ushuzi"
alipofikia kumdiss msanii Kimbunga Dogo D alisema
"kimbunga mchawi jipange kuroga kwangu, wachawi wenzako wamekuwa wake zangu.....",  Kala pina kabuma hajui afanye nini, waambie waeusi navaa miwani na bado naona gere 
sikiliza wimbo wote hapa chini na alichokisema young killer na dogo d mwenyewe


 


 
Nilipata nafasi ya kuongea na Dogo D mwenyewe na hiki ndicho alichokisema
"Unajua mziki ni changamoto halafu mi pia nipo nao peace wote, Nay nipo nae peace, young killer na Mo Music wote nipo nao peace, halafu pia ngoma hiyo "wamenichokoza" imeongelea ukweli mtupu, maana Nay pia nikimpigiaga simu sometime hapokei, unajua Mo Music kipindi haijahit basi nenda tulikuwa nae peace ila ilivyohit basi nenda akabadilika so hii ngoma imeongelea ukweli asilimia kubwa sana na ndio maana ngoma hii inapenya na inazidi kupenya na nikaamua kuwachana ambao wanazingua siku zote"

nilipoongea na Young Killer alisema 

"kwa upande wangu kidogo nimechukulia kawaida kutokana na dogo amekaa aka create idea, ameangalia akaona idea flani ambayo inafaa kwa upande wake kwahiyo akaamua achane, ametuchana kwa respect hajavuka mipaka hajatudiss saaana kusema kwamba tuweze kujukua hatua labda tumpige kwasababu yule ni mdogo na sidhani kama anaweza kukaa akafikiria kunidiss indeep zaidi kutakana na mimi mwenyewe kuwa ni sehemu kubwa sana ya msaada wake kwahiyo naamini ni idea na wala hakuna tatizo lolote baina yangu mimi na yeye au hata hao wengi aliowachana.kwahiyo ni idea ya kawaida kabisa ametudiss kwa kutonyesha kabisa, hajavuka mipaka na nimechulia powa kwasababu mimi  hata ngoma iliyotoka kabla ya hii nimefanya nae, na hata kipindi anaifanya ngoma hii alinipigia akaniambia nimefanya ngoma hii na hii na akanitumia na nikaisikiliza so binafsi  nilimwambia fresh tu kutokana na idea, so binafsi haijanipain na nimeichukulia fresh tu naamini ni idea tu  kila kitu kinaenda kama kilivyopangwa yeaah"

nilipomtafuta Nay  alisema hataki kuongelea hiyo ishu
IMG-20140722-WA0007 
Katika mfululizo wa nyimbo ambazo amewahi kutoa Young Killer,wimbo huu umekua wa tofauti kwa namna nyingi kuanzia style ya muziki wake mpaka wimbo kwa ujumla,unaitwa Umebadilika kamshirikisha Banana Zoro.

Welcome to My Blog

Popular Post

Blogger templates

About views Blogger

Mrembo wetu wa leo

KONA YA KIJANJA YA KUJIDA VIA SNAPS

Powered by Blogger.

MY HOT BROGGER TZ

Like My Facebook Page

FOLLOW ME ON TWITTER

Contact Form

Name

Email *

Message *

- Copyright © TIMOKUCHAZ -Robotic Notes- Powered by Blogger - Designed by Johanes Djogan -