Showing posts with label VIDEO. Show all posts

New VIDEO: Diamond Platnumz – ENEKA Idownload hapa

Wednesday, 12 July 2017
Posted by Unknown
Tag :


















Kamapa  kampa tena kijana Mahili REGGY THE BEST FT KIMBUNGA MCHAWI huwezi kuungalia Mara moja lazima utaurudia tu tena na tena  hebu ipakue uitazame



Aunty Ezekiel alitamani angeenda na mwavuli kujikinga na mvua ya hela iliyomnyeshea juzi kwenye birthday ya kutimiza mwaka mmoja ya mtoto wa Aunty Ezekiel na Mose Iyobo. Ni Diamond ndiye aliyesababisha mafuriko ya noti yaliyomfanya muigizaji huyo apagawe! Check video hiyo ujionee mwenyewe.


Mshindi wa Trace Music Star aliyeiwakilisha poa Tanzania kwenye mashindano hayo na kuibuka kifua mbele, Mayunga leo ameachia rasmi video mpya ya single yake aliyomshirikisha staa Akon iitwayo ‘Please Don’t go away’.
Katika video hiyo ndani ameshirikisha mrembo aliyewahi kuonekana kwenye video ya Big Sean ft Chris Brown, Ty Dolla Sign iitwayo Play No Games
itazame hapa mtu wangu ukishamaliza kuitazama hii video sio mbaya ukituachia na comment yako ili Mayunga atapita hapa kujua Watanzania wameipokeaje.

 

Baada ya video ya msanii wa Bongofleva Snura kuzinduliwa na kuitoa rasmi video ya ngoma yake mpya ya Chura, headlines nyingi zimekuwa zikiandikwa mitandaoni kuhusiana na video hiyo, wapo wanaoisifia na wapo wanaopenda kuitazama kutokana kuvutiwa na style yake ya uchezaji, Ayo Tv ilimpata Snura katika exclusive interview.

“Kiukweli video ya Chura nimeifanya maalum kwa ajili ya youtube na wala sina mpango wa kuipeleka kwenye Tv yoyote Tanzania, licha ya kuwa nimetumiwa taarifa kuwa Kenya imeshaanza kuchezwa, kwa wanaosema haina maadili mimi sijaitengeneza kwa ajili ya Tv bali youtube kwa anaependa kuitazama ataitazama na kwa mtu ambaye kwake haina maadili asiingie youtube kuiangalia” >>> Snura


KAMA ULIKOSA KUONA UZINDUZI WA VIDEO YA SNURA ‘CHURA’ APRIL 24 2016 ITATAZAME VIDEO HII HAPA CHINI 

 

Snura - Chura Dance | Tanzania women Twerking (Official Video)

Wednesday, 27 April 2016
Posted by Unknown
Tag :



This song"FREEDOM"Has Been Produced By Daxo Challi (MJ RECORDS) From Tanzania And Written By SUGU 'The Video Was Directed By Hanscana from Wanene Films.


Itanzame Hapa Video hapa Chini

New Video: Lady Jaydee – Ndindindi

Tuesday, 26 April 2016
Posted by Unknown
Tag :
Lady Jaydee ametoa maana ya wimbo wake ‘Ndindindi’ ambalo lilikuwa ni fumbo lililokuwa linawapa majibu mengi yasiyokuwa na uhakika mashabiki wake.

Wimbo wa ‘Ndindindi’ unazidi kufanya Vizuri kwenye medi mbalimbali na kumrudisha vizuri Jide aka Binti Komando kwenye muziki wa Bongo Fleva baada ya kukaa kimya kwa muda mrefu bila ya kuachia wimbo wowote.

Akiongea kwenye kipindi cha FNL, kinachoruka kupitia EATV, Lady Jaydee alisema, “The Ndi mimi ni kitu tori wewe si kitu” lakini pia aliongezea “ili kuleta fleva ya muziki ndiyo nikaiita Ndindindi. Mimi ni kitu na wewe si chochote.”


Hizi ni moja ya kazi zetu Hebu Enjoy na video yetu hapa >>>>>>

Monday, 4 April 2016
Posted by Unknown
Tag :

Itazame Michoro yetu kwa video hii hapo chini

kwa Maoni na Ushauli unaweza wasiliana nasi kwa simu no +255713624383 au unaweza ukatu follow kwa link hizi          Facebook    Instagram    Twitter
 Binti akiwa na Shanga wazee wa zamani wanasema huyo ana adabu Hilo jambo kweli linamaana Japo sina uhakika Wadada wa Leo wanazitumia Vizuri hizo Shanga


Hebu itazame hii Video Hapa

Videos


Usichukue muda kujiuliza mara yako ya mwisho kutazama video mpya ya Mh. Temba ilikua lini? right now yuko kwenye spika zetu na hii single inaitwa ‘fundi’ na ukishatazama usisahau kuniachia comment yako hapo chini ili Temba akipita hapa ajue mashabiki wake wameipokeaje.
Kama ulikua Hujajiunga nasi 
IMG-20121202-WA003 


Kwa habari za haraka Like Facebook Page yetu   >>>>>Timokuchaz <<<<<   Ili upate vitu kibao












NEW VIDEO: Mesen Selekta – Kanyaboya (Official Music Video)

Tuesday, 16 September 2014
Posted by Unknown
Tag :

2


NEW VIDEO: “Harusi” By Hussein Machozi TANZANIA

Monday, 15 September 2014
Posted by Unknown
Tag :

 



Ya Moto Band _ Niseme Video (Official Video)

Tuesday, 2 September 2014
Posted by Unknown
Tag :

 Yamoto Band ambao wanafanya vizuri sana katika anga la Muziki kwa sasa, wameachia Bonge la Video ya wimbo wao Mpya “Niseme nisiseme” video ambayo imefanywa na Pabro kutoka kampuni ya D360

 


Mapenzi yameteka dunia jamani hata mm naamini hivyo Boooonge la wimbo wa Mapenzi kutoka kwa Sharotti ft Do shilla wimbo unaitwa Inogile

Welcome to My Blog

Popular Post

Blogger templates

About views Blogger

Mrembo wetu wa leo

KONA YA KIJANJA YA KUJIDA VIA SNAPS

Powered by Blogger.

MY HOT BROGGER TZ

Like My Facebook Page

FOLLOW ME ON TWITTER

Contact Form

Name

Email *

Message *

- Copyright © TIMOKUCHAZ -Robotic Notes- Powered by Blogger - Designed by Johanes Djogan -