Posted by : Unknown
Saturday, 21 May 2016
Mshindi wa Trace Music Star aliyeiwakilisha poa Tanzania kwenye mashindano hayo na kuibuka kifua mbele, Mayunga leo ameachia rasmi video mpya ya single yake aliyomshirikisha staa Akon iitwayo ‘Please Don’t go away’.
Katika video hiyo ndani ameshirikisha mrembo aliyewahi kuonekana kwenye video ya Big Sean ft Chris Brown, Ty Dolla Sign iitwayo Play No Games
itazame hapa mtu wangu ukishamaliza
kuitazama hii video sio mbaya ukituachia na comment yako ili Mayunga
atapita hapa kujua Watanzania wameipokeaje.
Related Posts :
- Back to Home »
- VIDEO »
- VideoMPYA:Mayunga ft Akon ‘Please don’t go away’ imeachiwa leo May 21 2016
