Showing posts with label RANGI. Show all posts

GUNDI NZURI KWA USALAMA WA KUCHA ZAKO

Saturday 14 December 2013
Posted by Unknown
Tag :
Gundi ni kitu muhimu sana kwenye kucha zako epuka gundi zisizo na kiwango kwani zinaweza kuozesha kucha zako
Ili uwe na kucha maridadi zinahitaji usafi
kawaida kucha zilizo safi ndizo hasa zinazokubali polishi
Ni vyema kutambua kwamba wakati wa kupaka rangi tumia mipako michache kwa kila mpako na kila mpako uachie ukauke kabla ya kuanza mpako mwingine.Na ile ya mwisho inatakiwa kuwa bomba zaidi kwa kuwa ndio hasa itakayokuwa inatunza matabaka mengine yote.Utengenezaji mzuri wa kucha si lazima uwe wa kwenda katika mapumziko au kuonyesha mtu ni kitu ambacho kinafaa kufanywa ili uwe mrembo. Unaweza kujipaka rangi mwenyewe au kuwambia mtu akupake rangi.Kuna hatua kadhaa ambazo unatakiwa kuzifanya kabla ya kupaka rangi kucha zako.
Hatua ya kwanza ni........

1) kuondoa rangi zote za awali.kwa kufanya hivyo rangi mpya itakuwa   ina uwezo wa kushika katika kucha.Pia kunasaidia rangi yako mpya isitibuliwe na rangi ya zamani kwa namna yoyote ile.Unaweza kuondoa rangi ya zamani kwa kutumia  Nail polish remover

2) Tumia msasa mgumu kuzisawazisha kucha zako baada ya  hapo pitisha msasa laini kuzifanya kucha zako ziwe soft              nyunyizia maji kidogo halafu futa na taulo hapo ndio unaweza kupaka kararesi

3)Karalesi inayofaa kuanza ni  Base Coat
Anza kupaka katikati kwa kuanzia nyuma kupeleka mbele kisha nenda pembeni na pembeni.Na baada ya kukauka unaweza kupaka rangi yako yoyote

4)Kisha paka ile ya mwisho ambayo ndiyo italinda rangi yenyewe yaani top coat . top coat husaidia sana kuweka rangi kwa muda mrefu. Top coat ni polishi isiyokuwa na rangi 

 5)na kama unataka kuweka stika iweke mapema kabla ya kuweka top coat.rangi nzuri na zilizotulia zinakufanya uweMrembo zaida 
          
Asante by Timokuchaz
Kama unahitaji Picha Qurty zenye kiwango cha juu Editing............
GraphiXdesign unaweza ukatutafuta kwa namba:- +255713624383 Hata kama una harusi sisi tuko Vizuri
Welcome to My Blog

Popular Post

Blogger templates

About views Blogger

Mrembo wetu wa leo

KONA YA KIJANJA YA KUJIDA VIA SNAPS

Powered by Blogger.

MY HOT BROGGER TZ

Like My Facebook Page

FOLLOW ME ON TWITTER

Contact Form

Name

Email *

Message *

- Copyright © TIMOKUCHAZ -Robotic Notes- Powered by Blogger - Designed by Johanes Djogan -