Video mpya: Mh. Temba anayofuraha kukuonyesha video yake mpya, ndani kacheza na mrembo Nelly Kamwelu
Posted by : Unknown
Saturday, 2 April 2016
Videos
Usichukue muda kujiuliza mara yako ya mwisho kutazama video mpya ya Mh. Temba ilikua lini? right now yuko kwenye spika zetu na hii single inaitwa ‘fundi’ na ukishatazama usisahau kuniachia comment yako hapo chini ili Temba akipita hapa ajue mashabiki wake wameipokeaje.
Related Posts :
- Back to Home »
- VIDEO »
- Video mpya: Mh. Temba anayofuraha kukuonyesha video yake mpya, ndani kacheza na mrembo Nelly Kamwelu
