Ilianza Hivi:
Teamukwelinauwazi
Huyu Lemutuzi nae ni mbulula wa kwanza Tanzania kama wewe kweli hawa ni
superfriends zako unashindwaje sasa kuwaweka chini ukaongea nao na
ukajua chanZo cha ugomvi wao na mwisho ukawasuluhisha !! Nakuona
unaegemea upande wa wema ! Kwani alikwambia nani kua ukimsaidia mtu ndio
umnyenyekee kama mungu wako hata kama akifanya makosa basi umchekee tu
kiiiisa huna sauti eeeeti kwa sababu tu amekusaidia huo ni utumwa!!!
Heshima ni kitu cha Bure ndio maana tunaambiwa muheshimu mdogo nae
atakuheshimu! Juzi tumeona interview Ya kajala na mwanae kajala kaongea
vizuri sana sio kwamba kasahau wema aliotendewa la hasha na kasema hata
amlioe mabiliini si kitu !! Yaliyopo nyuma Ya pazia ni mengi ukweli wa
chanZo cha ugomvi wao wanaujua wenyewe!! Sasa wewe lemutuz na mtumbo
wako peleka huko gym mtu mzima wewe ovyoo sana na hizo system zako !!
Kwanza ile Harusi yako uliojigamba haina muchango imeishia wapi ??? Huyo
mchumba yuko wapi maana kila siku kupiga picha na bebez Za watu !!
Eti
ooh bahari baharia utakua wewe meli ikipinduka utahemea wapi kama
nakuona utakavyotapatapa ndani Ya Maji .. Ukimkuta kwenye kumbi Za
starehe sasa anavyojinadi ooh mi hinijui Mimi ndio lemutuz uliza mjin
hapa nafahamika sana !! Nyooo huna haya mwanaume mzima uache kutulia na
familia kutwa unakesha kutafuta umbea tutokee hapa na jasho la mchicha
pori...
Ikafuatia Team ya Lemutuz Kutoa Vidonge:
Teamlemutuz
@teamukwelinauwazi naona umeanza kufulia now! Huna mastori ya maana like
you used to be, siku hizi @teamukwelinauwazi imegeuka team penny!!
Mnakazi ya kutetea tu kinafiki kila kitu kinachifanywa na team penny
hata kama wanafanya uozo!!
Kajala ni mpumbavu na mnafiki, najua bibie
unamtetea kwa kuwa yuko team penny, but the truth be said kajala mjinga
hakumbuki alikotoka hajui siku anaweza kupata janga kubwa zaidi and hao
alionao wote watamkimbia, marafiki wenyewe wako nae ili tu kumuumiza
wema, hawana upendo wowote!!!!
Big up @lemutuz kwa kumwambia ukweli si
watu wote wenye ujasiri wa kumwambia mtu ukweli pale anapokosea.....
waache mburulaazzz waongeee
Post a Comment