Snura, Jina lake halisi ni ‘Snura Mushi’
Queen Darleen, Jina lake halisi ni ‘Mwajuma Abdul Juma’.
Jux Vuiton, Jina lake halisi ni ‘Juma Mussa Mpolopoto.’
Shetta, Jina lake halisi ni ‘Nurdin Bilali’
Izzo bizness, Jina lake halisi ni ‘Emmanuel Simwinga’.
Shilole, Jina lake halisi ni ‘Zuwena Mohamed’.
Ommy Dimpoz , Jina lake halisi ni ‘Omary Faraji Nyembo’
Roma, Jina lake halisi ni ‘Ibrahim Mussa’.
Belle 9, Jina lake halisi ni ‘Abelnego Damian’.
Tumezoea
kwa wasanii wengi wa Bongo fleva kwa kuwajua kwa majina yao ya kisanii,
Wasanii wengi wamekuwa wanatumia kifupi cha majina yao halisi, ila
mengine wengi wanakuwa wanatumia majina tofauti kabisa,
wengi huamini
kuwa wangekuwa wanatumia majina yao halisia, wasingeweza kuwa na
utofauti wa ki-status hapa town
kama ilivyo hivi sasa, hivyo kutengeneza
majina wanayotumia kwenye sanaa ya muziki, na kupelekea mashabiki wengi
wa wasanii hawa kutojua kabisa majina yao haya,.
hawa ni baadhi tu ya
wasanii wa bongo
Post a Comment