Posted by : Unknown Friday, 23 May 2014

 
Wanasema kua kikulacho ki nguoni mwako, msemo huo kwa Wema utakua unamgusa sana. Kitambo hicho Wema na Penny ( X wa Diamond ) walikua mashosti ile mbaya lakini ushosti huo uliishia pabaya pale Wema alipogundua kua Penny anakula kijanja muhogo wake ( Diamond Platnumz )
Japo kua hii si ishu mpya sana but nmeona leo nwaletee picha za wawili hawa Wema na Penny walipokua mashost kabla. Kwa sasa Wema kashikilia usukani wa Moyo wa Diamond na inasemekana mwakani huenda tukawalia wali ( Ndoa ) Tazama picha hizo hapo chini

 Wema Sepetu Mwenyewe Akiwa na Mahaba niue wake


 Diamond akiwa na Penny pozi la mahabati 


Wema na Penny katika Pozi la pamoja
 




Welcome to My Blog

Popular Post

Blogger templates

About views Blogger

Mrembo wetu wa leo

KONA YA KIJANJA YA KUJIDA VIA SNAPS

Powered by Blogger.

MY HOT BROGGER TZ

Like My Facebook Page

FOLLOW ME ON TWITTER

Contact Form

Name

Email *

Message *

- Copyright © TIMOKUCHAZ -Robotic Notes- Powered by Blogger - Designed by Johanes Djogan -