Posted by : Unknown Thursday, 22 May 2014

 

 Zamani nilikuwa naona kama Stori tu watu wanaongea kujifurahisha lakini kumbe LA HASHA!! Kumbe yanatokea bwana,nimeshtuka!!

Lakini nikajipa Moyo nikijua wanaofanya haya ni Wanawake wa Kiswahili wa huko Kwa Bibi Nyau ambao hawajaenda Shule lakini kumbe LA HASHA!!Hadi Masistaduu wanafanya haya kumbe,Nimeshtuka,Nimeogopa!!


HADI MASISTADUU WANAENDA KWA WAGANGA SIKU HIZI???Eh Yesu urudi tu jamani,wadada wa heshima,ukiwaona kama vile wamestaarabika kumbe ololoooo,HASARA!


Una Degree
unaenda kwa Mganga aliyeishia LA PILI akusaidie Umpate Mwanaume Fulani???KWELI??
Una Masters' Degree unaenda kwa Mganga eti kumkomesha Mwanamke aliyekuibia Boyfriend???Boyfriend Kweli,ambaye hata Shangazi zako wa kijijini Nyamabera


 hawamjui???Ukiibiwa Mme si utashika Bastola uue??
WADADA MMEPATWA NA NINI????Ndo mahaba haya???
Wanaume wenzangu kuweni makini,anavaa High Heels huyo,Amesoma huyo,anafanya kazi nzuri huyo lakini KIGAGULA,Wengine mmenaswa mnashangaa mnafanya maamuzi bila kuelewa nini kimewapata kumbe MDADA AMEKUTENGENEZA


Na rule za Ulimwengu huu ziko LOUD and CLEAR,Kama huna Yesu basi Shetani lazima awe COUSIN WAKO
WADADA MMETISHA....Afanaleki,hadi kunena kwa lugha nimeshindwa leo


TAWIRE DADA TAWIREEEE,JOHNSON AACHANE NA LUCY AWE WANGU,TAWIRE DADA TAWIRE...
Mungu akisaidie kizazi hiki!


Welcome to My Blog

Popular Post

Blogger templates

About views Blogger

Mrembo wetu wa leo

KONA YA KIJANJA YA KUJIDA VIA SNAPS

Powered by Blogger.

MY HOT BROGGER TZ

Like My Facebook Page

FOLLOW ME ON TWITTER

Contact Form

Name

Email *

Message *

- Copyright © TIMOKUCHAZ -Robotic Notes- Powered by Blogger - Designed by Johanes Djogan -