Posted by : Unknown Sunday, 8 June 2014

Juzi hapa zilisambaa picha tofauti za mheshmiwa huyu akiwa na wadada wawili tofauti katika mionekano ya kuashiria kuna mapenzi baina yao. Kupitia  Clouds FM  Muheshimiwa huyu alikanusha kuhusika kwake kwenye 

picha hizo.
Pamoja na sababu zingine, Mheshmiwa huyu alidai kua Picha za Uso/Sura/Kichwa chake zilitumika kuunganisha kwenye kiwiliwili cha mtu mwingine aliekuwepo na huyo 


dada ili ionekane ni yeye wakati sio kweli.
Sasa hapa chini zimenaswa picha mbalimbali za Mheshmiwa huyu akiwa na Nguo zilezile alizozikataa hapo mwanzo kua sio yeye bali sura ndio ilikua ya kwake.


SOURCE: DOMO ZEGE
USIACHE KUSOMA HAPA, KARIBU TENA NA TENA. ASANTENI

Welcome to My Blog

Popular Post

Blogger templates

About views Blogger

Mrembo wetu wa leo

KONA YA KIJANJA YA KUJIDA VIA SNAPS

Powered by Blogger.

MY HOT BROGGER TZ

Like My Facebook Page

FOLLOW ME ON TWITTER

Contact Form

Name

Email *

Message *

- Copyright © TIMOKUCHAZ -Robotic Notes- Powered by Blogger - Designed by Johanes Djogan -