Posted by : Unknown Saturday, 30 August 2014

TENDO LA NDOA KWA WANENE,,KATIKA MADA HII NATAKA UJIFUNZE MENGI SANA TENA YA MUHIMU.

https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhZK5VjhzUoEKjs9dAjV3_4LuHx4GKBQ6Vmg0xNslkSq7M-i4hO918zQhuJkUWRT98nSGVoBM-OlNQsJ-M3YPQzquPc7bhMi7jyoVaY6_Q-SfvK0l9_cJgG16U0D6bN8EJfudt0BkGU5cSM/s1600/oooo.jpg
Mmoja kati ya wanasayansi maarufu hapa duniani amegundua kuwa watu wanene wanapata raha zaidi katika tendo la ndoa ukilinganisha na wtu wembamba. Mwanasayansi huyo aitwaye Dr. James Watson ambaye amekwishawahi kushinda tuzo za NOBEL kwa ubingwa wake ulipelekea ugunduzi wa muundo wa DNA,anaamini kabisa kuwa watu wanene wana uwezo mkubwa wa kufurahia tendo la ndoa kuliko wembemba.
Watu wanene wanazo sababu za kibiology zinazowafanya waweze kupata raha zaidi wafanayapo tendo la ndoa. Ktk uchunguzi wake wa kemikali mbalimbali zilizomo kwenye wa mwanadamu Dr. Watson ameona kuwa mafuta ya mwili yanaongeza kemikali iitwayo ENDORPHIN inayosababisha mtu ajisike raha. Kwa watu wembamba aligundua kuwa upungufu wa mafuta mwilini ulisbabisha ubongo usiapate ENDORPHINS za kutosha hivyo kupelekea kuwepo na upungufu wa raha katika tendo la ndoa. Watu wanaosema kuwa kufanya tendo la ndoa na watu wanene hakuna raha na ni kazi ngumu ni waongo kabisa. Ukweli ni kwamba raha ya tendo la ndoa haipungui utamu wake kutokana na unene wa mtu, bali hupungua kutokana na ukosefu wa ufundi na hofu zisizo na msingi wowote. Hofu ya kushindwa kumridhisha mwenzio siku zote lazima itakuzuia usipate raha kamili katika jambo lolote lile.
.
Ukosefu wa ufundi wa kufanya tendo la ndoa huleta hofu,na hata kiasi kidogo tu cha hofu huweza kusababisha mtu kushindwa kufanya tendo la ndoa kwa ufanisi na hivyo kushindwa kupata raha kamili. Dr. Helen singer ambaye ni mwanasaikolojia maarufu anasema" kama mwanamume huyu atakuwa hajui umuhimu wa kinembe kilicho sehemu ya juu ya uke akafanya tendo la ndoa na mwanamke mnene atashindwa kabisa kumridhisha mwanamke huyo. Mwanaume wa aina hiyo akishasimamisha uume wake atauingiza kwa mwanamke na harahara atapizz(kumwanga shahawa) bila ku

fikiria kuwa mwanamke huyo atakuwa bado hajafika kileleni". Wanawake wengi wanene wameogopa kuanzisha mahusiano na wanaume kwa hofi ya kudharauliwa na hata wakifanikiwa kuanzisha uhusiano wanakuwa na wasiwasi kuwa uhenda wataachwa kwa sababu ya maumbile yao makubwa. Utawaone wanawake wanene wakivaa mavazi yasiyoleta mvuto kwa wanaume kwa sababu imani kuwa kwa sababu ya unene wao hawapendeki. Wanawake wengine wapatapo wapenzi wakti wa kufanya mapenzi hupendelea kufanya mapenzi baada ya taa kuzimwa,wanaona giza litaficha ubaya wa unene wao, jambo ambalo huondoa kujiamini na kupunguza mvuto kwa mwanaume yeyote.

Wanawake wengi wanene wanajiona kuwa hawathaminiki kwa wanaume kutokana na unene wao, hali hiyo usababisha kuharibu mvuto wao na wengi huachwa sio kwa sababu ya unene wao,bali kwa sababu ya kukosa uchangamfu utokanao na hali ya kujiamni. Mtu akiwa na historia ya kuachika anajenga hofu ya kuchika katika uhusiano wowote ule, na hofu humfanya apoteze matumaini. Hali ya kutokuwa na matumaini humpunguzia mguvu ya kujiboresha yeye mwenyewe na kuboresha uhusiano anaoanzisha. Iwapo wanawake wanene hawaamini kuwa wao pia wanastahili mambo mazuri zaidi, basi watabaki katika tundu lenye huzuni na msikitiko tele.

Welcome to My Blog

Popular Post

Blogger templates

About views Blogger

Mrembo wetu wa leo

KONA YA KIJANJA YA KUJIDA VIA SNAPS

Powered by Blogger.

MY HOT BROGGER TZ

Like My Facebook Page

FOLLOW ME ON TWITTER

Contact Form

Name

Email *

Message *

- Copyright © TIMOKUCHAZ -Robotic Notes- Powered by Blogger - Designed by Johanes Djogan -