Posted by : Unknown
Thursday, 24 March 2016
Rais John Pombe Magufuli aliwateua wakuu wapya wa mikoa Tanzania bara March 13 2016 ambapo kati yao 13 ni wapya, 7 wamebakizwa katika vituo vyao vya kazi, watano wamehamishwa vituo vya kazi na mmoja amepangiwa Mkoa mpya wa Songwe sasa wakati wa kuwaapisha kuna mmoja wa viongozi aliteleza kufata kanuni za viapo, tazama kwenye hii video hapa chini.
Related Posts :
- Back to Home »
- SIASA »
- Kilichomchekesha Rais Magufuli Ikulu Japo alivaa Sura ya Kazi Hebu tazama hii Video
