Baraza la madiwani chini ya meya wa manispaa ya Kinondoni Jacob Steven
limewachukulia hatua watumishi 18 waliokuwa na tuhuma mbalimbali,
watumishi 9 wa uhandisi, 8 afya na 1 wa utumishi fedha na biashara,
Watumishi wa 4 afya wamefukuzwa kazi kwa utoro na rushwa, watumishi 3
uhandisi wamekutwa na hatia kwa kushushwa vyeo na madaraja na mtumishi
wa fedha na biashara amepewa onyo kali
uamuzi kwa wahandisi umetokana na wao kushindwa kutumia taaluma zao vizuri kwenye ujenzi wa barabara.
watumishai hao walichukuliwa hatua baada ya kufunguliwa mashtaka,
kufanyiwa uchunguzi wa tuhuma zao na wao kupewa muda wa kujitetea.
Baraza la madiwani limewapandisha vyeo watumishi 372, kuwabadilisha vyeo
watumishi 9, na kuwathibitisha kazini watumishi 206 ambao walimaliza
vipindi vya majaribio na kuonekana kuwa wanafaa kuwa watumishi wa umma
Nawapa hongera kwa kufanya kazi hii kwa weledi na sio kwa show off,
wanaofanya kazi kwa show off ili kuonekana wanafanya kazi na wanapenda
haki kumbe wana sura mbili wangeiga mfano huu
Al Nassr wamtumia Ronaldo Kumnasa Casemiro
-
KWA mujibu wa The Mirror, timu ya Al Nassr inamtumia mshambuliaji wake,
Cristiano Ronaldo katika mchakato wa kuipata saini ya kiungo wa Manchester
United n...
Post a Comment