Posted by : Unknown Saturday, 14 December 2013

 
ZITTO KABWE NDANI YA KASULU:
Baada ya kumalizika kwa ratiba ya
mzunguko wa katibu mkuu wa CHADEMA,
 
Dr. Wilbroad Slaa, sasa aliyekuwa naibu katibu mkuu wa chama hicho, Zitto Zuberi Kabwe, anatarijiwa kuwasili mjini hapa.
Kwa mujibu wa taarifa za uhakika kutoka
ndani ya uongozi wa chama hicho, Zitto anatarajiwa kufika kabla mwaka huu wa 2013 haujakamilika. 

 "Inaweza kuwa tarehe 20 au 22 ya mwezi
huu ila eneo halijapangwa japokuwa
anaweza kufanyia mkutano kwenye uwanja wa Kiganamo

" kilisema chanzo
chetu ambacho kiliomba kuhifadhiwa jina

lake.
Mapokezi yake yanatarajiwa kuwa ya aina yake maana hadi sasa anasubiriwa kama mfalme.

Welcome to My Blog

Popular Post

Blogger templates

About views Blogger

Mrembo wetu wa leo

KONA YA KIJANJA YA KUJIDA VIA SNAPS

Powered by Blogger.

MY HOT BROGGER TZ

Like My Facebook Page

FOLLOW ME ON TWITTER

Contact Form

Name

Email *

Message *

- Copyright © TIMOKUCHAZ -Robotic Notes- Powered by Blogger - Designed by Johanes Djogan -