Kundi la muziki la Mafikizolo kutoka Afrika Kusini wameachia wimbo mpya Tchelete'(Good Life)' walioshiriakiana na msanii wa Nigeria Davido,wimbo huo umetayarishwa kwenye studio za Kalawa Jazmes nchini Afrika Kusini chini ya Oskido,Uhuru & Shizzi
Usikilize hapa