Hii ndio KEKI ya Mtoto Kasalo Babueeeee yaani Hii hakuna kuzima Mshumaaaaaaaaaaaaaaaaa
Watoto wa THT Hamis a.k.a Mzee wa Inogile akiwa na Abaa Kinywele
wakionyesha ufundi wao wa kudens yaan ni nomaaaaaa sanaaaaaaaaaaaa
Adatus kimabo katika Pozi
Big akiwa na watoto wakali Ndani ya Ukumbi weeeee walitisha saaaaana
Baunsa wetu aliyekuwa anatunza usalama wetu Mle Ndani akilishwa Keki
Boss Mwenyewe wa KEZ ndio Huyu akila Keki weeee ilinogaje
Mpiga picha wetu akiwa katika pozi na Adatus
Jack akiwa anaiandaa Shampeeen pembeni kushoto ni Chek Mc wetu na kulia ni Baunsa
weeeeeeeee ha mm sisemi napita tu
Kuna watu wana Fani kibao ukiacha na Mziki hadi hii anaiweza sana Huyu ni Hamis a.k.a Sharoti
Wakipeana Hi watoto wa Mjini kabla ya Shughuli kuanza
Mtoto aliyezaliwa akiwa na Kaka ake baada ya kulishwa Keki
Dogo Jackbo Naye yumo aaaaaah safi sana Akisubili kula keki
Umependa Pozzzzzz lake Mdada Mtafute akupe vitu vikali
Dogo Begha Na Abaaa nao Hao na Pozi Lao
James Super Star a.k.a Dj a.k.a Design Akilishwa Keki na rafiki yake Wa Nguvu kabisaaaaaa aaaaaaaaah Lakini kama ana Hasira na Mtu hapa
Watu walipendeza sana Umewaona hawaaaaaaa
Saruuuuuuuuut
Kaiko Katikati Akiwa na Masela waki
Msaaaani Huyo anakula keki
Huyu alikuwa wakwanza kula Keki Piga makofiiiiiiiiiiiiii Mengi sana Kwake acha wivu Banaaaaaa
Wakiwa katika Maandalizi ya Kukata Keki
Kasaaaalo Mwenyewe akiiandaa KEKI
\Kimyaaaaaaa Usiongee Kitu Mm Sitaki Umbea aaaaaaaah jamani
Umewaobna Warembo haoooooooooooo Na pozi Lao hapo
Ni noooooma Sana Mpiga Picha Nae Auza Sula na Msanii Wa BongoFraver Sharoti
Pachaaaaaaa a.k.a Muuza Shisha Maarufu Hapa Mjini akiwa katika Poz Na Mrembo wanguvu Kabisa
Shampeniiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii Hadi juuuuuuuuu kabisa Kweli huyu jaaaaaa Noma uanawe kumtafuta ili Akufanye wewe uogeleee nayo maaana haaaaa
Aaaaaaaah sasa Mda wa Kukata Keki mm sisemi hakuna hata Kutambulishana Kimya Kimya
Watoto wa THT wakifanya yao hapo aaaaah Kweli Mziki Kipaji Jamani
Timokuchaz Nae hakuwa Nyuma Akiwa na warembo wakali Hii ni Baada ya Shughuli kuisha Hapa Happy Huku ................. aaaa mm Sisemi
Huyu ni Mmoja kati ya Wasnii wakike waliotoa Shooo
Kasaloooo Akiwalisha Keki Watu wake wanguvu umewaona watoto wakaliiiiiiiiiiii haooooooo
Kasaloooo Akiwalisha Keki Watu wake wanguvu umewaona watoto wakaliiiiiiiiiiii haooooooo
Post a Comment