Posted by : Unknown Sunday, 10 August 2014





q
Ndege  ya kampuni ya Taban Air imeripotiwa kuanguka katika makazi ya watu baada kupaa kutoka uwanja wa ndege wa Mehrabad Magharibi mwa mji wa Tehran nchini Iran.
Ndege hiyo inayojulikana kama Iran 141 ilitengezwa nchini Iran kwa teknologia ya Ukraine imepata ajari na kuua watu wote waliokuwepo kwenye hiyo ndege.
Kituo cha television cha taifa kimetangaza kuwa ndege hiyo ilikuwa na abiria 40 na uchunguzi wa ajali hiyo unaendelea.

Iran imekabiliwa na ajali kama hizo katika siku za hivi karibuni kutokana na ndege zake zilizozeeka mbali na marekebisho mabaya inazozifanyia.
Ni halali yako kupata kila stori inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia twitter instagram na facebook ukijiunga na mimi kwa kubonyeza >>> twitter Instagram facebook

Welcome to My Blog

Popular Post

Blogger templates

About views Blogger

Mrembo wetu wa leo

KONA YA KIJANJA YA KUJIDA VIA SNAPS

Powered by Blogger.

MY HOT BROGGER TZ

Like My Facebook Page

FOLLOW ME ON TWITTER

Contact Form

Name

Email *

Message *

- Copyright © TIMOKUCHAZ -Robotic Notes- Powered by Blogger - Designed by Johanes Djogan -