Vanessa Mdee usiku wa jana pale New Maisha Club alipiga show kali sana asikwambie mtu aisee, big up Vanessa
HK ndio alikuwa MC wa show hii ya Tubonge
Msanii Mirror nae alikuwepo na alifanya show nzuri pia
HK akimkaribisha kwa steji msanii Jose Chameleon
Jose Chameleon alipanda kwa steji na
akapiga show moja matataaaaa huku akiwasuprise watanzani kwa kuwaita kwa
steji wasanii nguli wa bongo fleva namzungumzia FEROOZ pamoja na PROF
JAY
Ferooz
Prof Jay
Chanzo cha habari
BBM 7E3B1D4C
WhatsApp +255 755 164282
Download DJChokaMusic Android Application Click HERE
Post a Comment