Posted by : Unknown Monday 4 August 2014

Ukweli kuhusu wimbo wa Linex: Zitto Kabwe ashiriki kukamilisha lyrics 70%, Adam Juma alipwa pesa ambayo hajawahi kulipwa na msanii yoyote, speech yake yaskika wishoni

Wimbo mpya wa Sunday Mjeda a.k.a Linex unaoitwa Wema kwa Ubaya unaotarajiwa kutoka hivi karibuni pamoja na video yake umetengenezwa na producers watatu akiwemo More Fire ambae alisimamia uingizwaji wa vocals, producer Mona Gangstar ambae yeye alishughulikia mixing na kumaliziwa kwa producer Tuddy  Thomas ambae amefanya mastering  
ukiacha hilo lakini katika uandishi wa mashairi yake Mh Zitto Kabwe  ameshiriki kwa asilimia 70 na kuweka speech yake fupi mwisho wa wimbo huo.
katika utengenezaji wa video hiyo Linex amefanya video  hiyo na Director Adam Juma ambae anasisitia kuwa hela aliyomlipa hajawahi kulipwa na msanii yoyote Tanzania...msikilize Linex akiongea hapa chini.

Welcome to My Blog

Blogger templates

About views Blogger

Mrembo wetu wa leo

KONA YA KIJANJA YA KUJIDA VIA SNAPS

Powered by Blogger.

MY HOT BROGGER TZ

Like My Facebook Page

FOLLOW ME ON TWITTER

Contact Form

Name

Email *

Message *

- Copyright © TIMOKUCHAZ -Robotic Notes- Powered by Blogger - Designed by Johanes Djogan -