Mama mzazi wa muigizaji Wema Sepetu, amewajia juu watu wanaomtusi
kupitia mitandao ya jamii hasa wale wanaojulikana kama team fulani,
akitaja kwa majina "TeamDengue" baada ya kudhalilishwa kwa kuchorwa
akiwa uchi na kusambazwa mitaandaoni
Akizumgumza katika birthday ya mtoto wake iliyofanyika siku ya jumapili,
alianza kwa kuwashikuru wale wote waliohudhuria party hiyo n akuwaomba
kuendelea kumpenda Wema licha ya kuwa anatukanwa na kudhalilishwa
"Anaeanza nyie mnamaliza, isipokuwa msitukane, naomba kama mnaupendo
muendelee na upendo, mmeonyesha kama mnampenda Wema, Wema anatukanwa,
Wema anadhalilishwa, nilikuwa nazungumzia Team Wema na Team nani? nani
nani nani????? kuna team Dengue, kuna team dengue mnadhania siijui, mi
naijua niliyochorwa niko uchi, mimi kweli nilivyo umbile langu
mnaniangali mnaniona niliyo (huku akizunguka) mnaniona vizuriii?hivi
kweli nimechorwa nina mabaka huku (akionyesha mapajani) nna mabaka mimi?
halafu halafu guuuu, mi sipakagi, sipakagi, sipaki mimi mkorogo katika
maisha yangu, sipaki mkorogo, sijui mkorogo sijui kukorogwa, mimi ni
naturu line (natural) kwa baba na mama"
Habari kubwa Magazetini Kenya leo March 3, 2025
-
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Tanzania March 3, 2025,nakukaribisha
kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma Magazetini
ke...