AMA KWELI POMBE SIO CHAI JAMAA BIA MBILI TU KAANZA KUVUA NGUO NA KUWEKA MAPOZI YA KIMISI WATU WAMPIGE PICHA, CHEKI HAPA LAIVU BILA KING'AMUZI
Posted by : Unknown
Sunday, 31 August 2014
AMA KWELI POMBE SIO CHAI JAMAA BIA MBILI TU KAANZA KUVUA NGUO NA KUWEKA MAPOZI YA KIMISI WATU WAMPIGE PICHA, CHEKI HAPA LAIVU BILA KING'AMUZI

Pombe usipoweza kuicontrol basi matokeo yake ita Control wewe ! Huyu Jamaa Alinawa na Kamera za Udaku Specially Katika Baa Moja Maarufu Mitaa ya Sinza , Inasemekana Alikuwa na Wenzake wanakunywa Baada ya Kupata Bia Mbili tu zikampanda Kichwani na Kuanza kuweka Mapozi ya Ajabu Ajabu na Mwisho Kuvua nguo na kuweka Mapozi ya Kimiss Watu Wampige Picha, Wenzake kuona Hivyo Wakamkimbia na Kumwacha Mchizi akiaibika Kiaina..
Related Posts :
- Back to Home »
- NEWS »
- AMA KWELI POMBE SIO CHAI JAMAA BIA MBILI TU KAANZA KUVUA NGUO NA KUWEKA MAPOZI YA KIMISI WATU WAMPIGE PICHA, CHEKI HAPA LAIVU BILA KING'AMUZI
Post a Comment