DAVID LUGENZI AFANYA KITU AMBACHO WATU HAWAJAFIKILIA KAMA ATAFANYA HEBU ONA TUKIO ZIMA. PICHA ZAIDI YA 60>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>
Posted by : Unknown
Monday, 2 May 2016
Tarehe 1/5/2016 J,pili, David Aliamua kwenda Kanisani Kutoa Shukurani, Ni baada ya Kumpoteza Mama yake Mzazi
Kwa Dini za kikristo Ni kawaida kabisa linapotokea jambo kama hilo
Kumrudia Mungo wako na Kusema Asante, kwani Tunaimani kwamba kila
Linalotokea ni kwa Mipango Yake Mwenyezi Mungu
Kwaya kuu La KKT Ushirika wa Kibo siku hiyo ndio walitoa hudua ya uimbaji
Hapo ni Nyumbani wapishi wakiandaa Mambo ya Misosi
Baada ya kutoka Kanisani Waalikwa walikuwa Nyumbani kwa ajili ya kupata Chakula
Related Posts :
- Back to Home »
- NEWS »
- DAVID LUGENZI AFANYA KITU AMBACHO WATU HAWAJAFIKILIA KAMA ATAFANYA HEBU ONA TUKIO ZIMA. PICHA ZAIDI YA 60>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>
