Posted by : Unknown
Saturday, 23 July 2016

Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Kipolisi Kinondoni, Christopher Fuime amesema tukio hilo lilitokea majira ya saa mbili usiku huu na chanzo cha mauaji hayo hakijafahamika.
“Tukipata chanzo itakuwa tayari upelelezi wetu umetimia, hivyo kwa sasa tunalifanyia kazi ili kubaini wahusika wa mauaji hayo,” amesema Fuime.
Related Posts :
- Back to Home »
- NEWS »
- DAR: Askari wa Usalama barabarani (Trafiki) auawa kwa kupigwa risasi

Post a Comment