Unaweza kuyatazama hapa matokeo yote ya kidato cha nne 2015

Friday, 19 February 2016
Posted by Unknown
Tag :

Matokeo yote unaweza kuyatazama kwa kubonyeza 

Anayejua Anajua tu Kwa Mwendo Huu Akikaza Atatoboa Tundu Mchina Boy Aja na Ngoma Nyingine Kaaaaaali Akiwashirikisha Wasani Wawili Shebby Love & War Will Ni Bonge La Ngoma Kuwa wa Kwanza Kuisikiliza Hapa
 

SHERIA YA MAKOSA YA MITANDAO TAYARI IMESAINIWA NA RAIS.

Saturday, 9 May 2015
Posted by Unknown
Tag :

SHERIA YA MAKOSA YA MITANDAO TAYARI
IMESAINIWA NA RAIS.

Rais Jakaya Kikwete tayari ameshasaini sheria yenye utata ya
makosa ya mtandao na muda wowote kuanzia sasa itaanza
kutumika rasmi

Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Profesa
Makame Mnyaa Mbarawa, amesema hayo leo wakati
akizungumzia masuala mbali mbali yanayohusu sheria hiyo
ambayo kupitishwa kwake kumesababisha malalamiko mengi
kutoka kwa wadau kuwa itaminya uhuru wa habari, kuingilia
faragha pamoja na uhuru wa watu kuwasiliana.

Ufuatao hapa chini ni uchambuzi kidogo kuhusu baadhi ya
vipengele vilivyozua utata katika muswada huu uliokuwa
umetolewa

1. Kifungu 7 (2b): Mpokeaji wa ujumbe (receiver) anaweza
kushtakiwa kwa kosa la kupokea ujumbe ambao sheria
imeufanya kuwa wa jinai. (Mfano: Mtu akikuforwadia ujumbe,
ukiupokea na wewe umefanya kosa la jinai). Vs East Africa Television (EATV)  Habari

2. Kifungu 8: Itakuwa ni kosa la jinai kama mtu ataweka wazi
nyaraka za siri za serikali hata kama ni nyaraka ya kusaidia
nchi kwa ujumla (Mfano: Matumizi mabaya ya mali ya
umma).

3. Kifungu 14: Picha yoyote yenye mwelekeo unaoweza
kuonekana kama ‘mchafu kingono’ inaweza kupelekea mtu
kufungwa hadi miaka 10 au kulipa milioni 30; (Mfano: mtu
kaposti picha yake ambayo sio ya ponografia lakini
‘ikatafsiriwa’ hivyo. Sheria haijatafsiri ponografia!)

4. Kifungu 23: Je, ulijua kuwa ‘kusababisha maudhi ya hisia’
kwa mtu mwingine ni unyanyasaji na unaweza kufungwa
kifungo kisichopungua mwaka mmoja?

5 Kifungu 22: Ukiweka ujumbe katika mtandao na ukaufuta au
kuuboresha, kama ukishtakiwa kwa kuweka ujumbe huo
unaweza kuhukumiwa pia kwa adhabu ya kuuboresha au
kuufuta. (Mfano: unapofuta ‘status’ zako za WhatsApp,
unaweza shitakiwa kwa kuchelewesha ushahidi kisa tu ulifuta
na hamna mtu anayeweza kujua ulifuta kwa kusudi au la.)

6. Mkuu wa kituo cha Polisi chochote kile nchini anaweza
kuagiza wewe umpatie simu/laptop yako au taarifa zako zote
(kwenye email, chats) au hata vifaa vyako au ofisi yako kwa
ajili ya upelelezi bila oda ya Mahakama.

7. Serikali kupitia waziri husika ndio ina mamlaka ya kusema
jambo lililowekwa kwenye mtandao ni la kweli, uongo au la
kupotosha

Mtokeo ya mechi Real Madrid vs Atletico Madrid

Friday, 16 January 2015
Posted by Unknown
Tag :

Real Madrid 2 Atletico Madrid 2
Real Madrid 2 - 2 Atletico Madrid
aggregate score: (2 - 4)
half-time: (1 - 1)
1' 0 - 1 Fernando T...
20' Sergio Ramos 1 - 1
28' Raul Garcia
46' 1 - 2 Fernando T...
49' Tiago
53' Diego Godin
54' Cristiano R... 2 - 2
56' Sergio Ramos
83' Marcelo
85' Koke
86' Daniel Carv...
Wewe Ni Mkazi wa Dar es alaam  Kuwa Makini  Panya Road Mda huu Wapo Ubungo Wananchi Wanakimbia Ovyo Mitaani kukimbilia Makwao. Ofisi Zimefungwa na watu wameumizwa sana Hofu ya tanda Hadi mda huu Mitaa yote kimya Hakuna Hata Mtu Anaekatiza Ovyo Mitaa Sinza wameshaua Mtu



 Hapo ndio alikua anaimba ule wimbo unaoitwa Mama aminaaaaaaaaaaa ............................................... kama unaujua malizia mimi hata siwezi
















Kama ulikua Hujajiunga nasi 







Shekini-Video-1




Download hapa kazi mpya kutoka kwa Mkubwa na Wanawe chini ya Said Fella na muda huu wameamua kuuanyia Gospel version wimbo wao 'Niseme' na kuuweka katika mahadhi ya injili.
Sio mbaya ukashare maoni yako kuhusiana na wimbo huu tujue umeupokeaje.
Enjoy...

Barnaba - Wahalade ( Official Video )

Tuesday, 11 November 2014
Posted by Unknown






Kama ulikua Hujajiunaga nasi 

NEW AUDIO: Bonta feat G-Nako (@GnakoWarawara) – B3

Friday, 7 November 2014
Posted by Unknown
Tag :

Kama unapenda Hip Hop Hii inakuhusu Bonta & G-Nako ogopa utaipenda hebu isikilize hapa

Bonta.._full
Kama ulikua hujajiunga nasi
 >>>>>>Bonyeza Hapa Chini<<<<<<

Ajali mbaya yatokea daraja la Wami ikihusisha basi na Lori.

Friday, 31 October 2014
Posted by Unknown
Tag :

IMG-20141031-WA0001
Ajali mbaya imetokea eneo la daraja la Wami majira ya asubuhi ikihusisha basi la abiria la Simba Mtoto na gari la mizigo zilizogongana uso kwa uso.
Taarifa za awali zinasema majeruhi ni 3 katika ajali hiyo, lakini hakuna taarifa rasmi kuhusiana na vifo, kwa taarifa

Young Killa msodoki a.k.a handsome asie na matunzo au ukipenda muite zombi, leo hii ameachia wimbo mpya aliomshirikisha Fid Q
wimbo unaitwa "13" ikiwa ni tarehe walizozaliwa ambapo Fid amezaliwa August 13 na Killa amezaliwa April 13..sikiliza wimbo huo hapa chini




NdegeMamlaka ya uwanja wa ndege imethibitisha kutokea kwa ajali ya ndege moja ambayo imegonga jengo la kuongozea ndege katika uwanja wa Wichita, Kansas Marekani.
Mashuhuda wa tukio hilo wamesema ndege hiyo imepata ajali hiyo muda mfupi uliopita ambapo iligonga jengo hilo na kuwaacha takribani watu kumi wakiwa wamenasa ndani ya jengo na haijafahamika bado kuhusiana na hali zao.
Hakuna taarifa zinazoelezea kuhusiana na ukubwa wa ndege hiyo wala idadi ya watu waliokuwamo ndani. Picha zilizoenea mitandaoni zinaonyesha moto mkubwa unaowaka uwanjani hapo.
Ndege Ajali IINdege AjaliNi 

Song Tanzania by Kaka Jay

Tuesday, 28 October 2014
Posted by Unknown






Malunde1 blog inakutambulishia rasmi Video mpya ya Joash Timothy Omolo maarufu kwa jina la "Kaka Jay" kutoka Kahama,mkoa wa Shinyanga,nchini Tanzania,wimbo unaitwa "Tanzania". Wimbo "Tanzania"umeimbwa na Kaka Jay na amemshirikisha Jay One.

TAZAMA VIDEO HII NI NZURI,UTAIPENDA


Follow page zetu
Instagram


Jeshi la polisi kwa kushirikiana na Jeshi la Ulinzi la
wananchi Tanzania(JWTZ) wamefanikiwa kulipua bomu lililotegwa katika eneo
la kituo cha kurushia matangazo kilichopo mshangano cha shirika la

utangazaji Tanzania (TBC) Songea Mkoani Ruvuma siku ya jana majira ya saa moja
jioni.
Bomu hili linalosadikiwa kutengenezwa kienyeji nawatu
wasiojulikana lilitegwa hatua  zinazokadiliwa thelathini kutoka kitika
kituo kilipo katika eneo ambalo askari wa usalama barabarani wanakaa kwa ajili
kufanya kazi zao za kila siku.
 Kamanda wa Polisi
mkoa wa Ruvuma Mihayo Msikhela amesema kwamujibu wa wataalamu wa milipuko
kutoka jeshi la Ulinmzi la wananchi wa Tanzania bomu hili linaonekakana
limetengenezwa kienyeji.
ameitaka jamii kutoa ushrikiano kwa jeshi la polisi
ili liweze kuwabaini watu waliowalipua kwa bomu lililotengenezwa kienyeji
askari polisi watatu  wakiwa katika doria katika kata ya misufini
manispaa ya songea.
Msikhela amesema Jeshi la polisi linafanya jitihada za
kuwapata watu hawa wanaohusika na mtandao huu wa utegaji wa mabomu na ulipuaji,
Aidha ameitaka jamii kutoa ushrikiano kwa Jeshi la Polisi
ili liweze kuwabaini watu wanaousika na matukio ya
namana hii.
Na hii ni mara ya pili katika manispaa ya songea
kutokea kwa matukio haya ambapo tarehe Oktoba 16 mwaka huu askari
watatu wa jeshi la polisi katika wilaya ya Songea mkoani Ruvuma,  walijeruhiwa
kwa kitu kinachosadikiwa kuwa ni bomu la kutupwa kwa mkono ambalo lilisadikiwa
kutengenezwa kienyeji, katika eneo la matarawe mjini songea mkoani Ruvuma.
Askari
hao walikutwa na mkasa huo saa moja na nusu usiku wakati wakiwa katika doria
ambao ni WP Felista Abel,
PC John Kaduma na PC Ramadhani Ally
Kwa
upande wake Mkuu wa Wilaya ya Songea Joseph Mkirikiti akizungumza na mtandao
huu wa demasho  kwa njia ya simu amesikitishwa
na kitendo hicho cha utegeji wa Mabomu ikiwa nikutaka kuhatarisha amani iliyopo
katika mkoa huu wa Ruvuma.
Aidha
amesema serikali kupitia vyombo vyake vya ulinzi na usalama watahakikisha
wanawasaka na kuwakamata walewote wanaohusika na vitendo hivi.
Follow page zetu

Canada yatoa tamko kuhusiana na shambulio la Bungeni.

Saturday, 25 October 2014
Posted by Unknown
Tag :


ShambulioMasaa machache baada ya kutokea tukio la shambulizi la risasi katika bunge la Canada lililopelekea mwanajeshi mmoja na askari wa bunge, kuuawa serikali ya Canada imetoa tamko rasmi kuhusiana na tukio hilo.
Waziri mkuu wa Canada, Stephern Harper.
Waziri mkuu wa Canada, Stephern Harper.
Akitoa tamko hilo waziri mkuu wa Canada Stephen Harper amesema shambulio hilo ‘haliitetemeshi’ Canada, bali linaiongezea nchi hiyo ujasiri.
Rais wa Marekani Barack Obama na waziri mkuu wa Uingereza David Cameron wamelaani kitendo hicho kwa kukiita ni cha kukiita ni cha ‘kikatili’, huku wakisisitiza kuwa wakati huu ni wa kuwa macho zaidi kwa kuimarisha ushirikiano baina yao katika kupambana na ugaidi.
Cameron ameeleza kuwa tayari kushirikiana na Canada kwa msaada wowote utakaohitajika katika kukabiliana na hali hiyo.
Taarifa kutoka shirika la utangazaji nchini Ufaransa RFI linasema bado askari polisi wa kikosi maalum cha usalama wameendelea kulizunguka eneo hilo japo hali ya usalama imeimarika kwa sasa.
Canada imesema waliouawa kutokana na shambulio hilo ambao ni mwanajeshi koplo Nathan Cirillo na aliyekuwa askari wa bunge Kevin Vickers wamekufa kishujaa, huku polisi wakiendelea kumsaka mshukiwa wa tukio hilo aliyetajwa kwa jina la Michael Zehalf- Bibeau.
Kevin Vicker, askari wa bunge aliyeuawa kwa kupigwa risasi katika shambulio hilo
Kevin Vicker, askari wa bunge aliyeuawa kwa kupigwa risasi katika shambulio hilo
Koplo Nathan Cirillo , mwanajeshi aliyeuawa kwa kufyatuliwa risasi akiwa analinda katika makumbusho ya vita ya dunia jirani na jengo la Bunge la Canada.
Koplo Nathan Cirillo , mwanajeshi aliyeuawa kwa kufyatuliwa risasi akiwa analinda katika makumbusho ya vita ya dunia jirani na jengo la Bunge la Canada.
Kwa habari za haraka Like Facebook Page yetu   >>>>>Timokuchaz <<<<<   Ili upate vitu kibao
IMG-20121202-WA003 


Kwa habari za haraka Like Facebook Page yetu   >>>>>Timokuchaz <<<<<   Ili upate vitu kibao

Welcome to My Blog

Popular Post

Blogger templates

About views Blogger

Mrembo wetu wa leo

KONA YA KIJANJA YA KUJIDA VIA SNAPS

Powered by Blogger.

MY HOT BROGGER TZ

Like My Facebook Page

FOLLOW ME ON TWITTER

Contact Form

Name

Email *

Message *

- Copyright © TIMOKUCHAZ -Robotic Notes- Powered by Blogger - Designed by Johanes Djogan -